Uhakiki wa vyeti

Uhakiki wa vyeti

Uhakiki unaendelea hata sasa. Wote watahakikiwa mpaka IGP
 
Umenistua nikadhani tunahakikiwa tena maana nimeshachoka! kila mara uhakiki hakuna nyongeza hakuna nini wala nini, nimechoka mie na uhakiki sio siri
 
..."ukitaka kujua kuwa sio kila tatizo humalizwa kwa matumizi ya nguvu ni pale mbu atakabotua kwenye korodani".
A day a mosquito lands on your testacle is a day you will realize that the violence is not a solution of the problem.
 
Ni lini viongozi wa kitaifa kama RCs, DCs na Mawaziri watahakikiwa vyeti vyao vya kidato cha nne, kama walipitia mfumo wa sekondari?
Tatizo mbeba maono wa kuhakiki vyeti amesahau au kazi zimemzidia, hao walioachiwa hawajui kwa nini wanahakiki vyeti, kwa hiyo ni meli iliyokwenda kwa kasi baadae manahodha hawajui wanapokwenda au wanapotoka.
 
Umenistua nikadhani tunahakikiwa tena maana nimeshachoka! kila mara uhakiki hakuna nyongeza hakuna nini wala nini, nimechoka mie na uhakiki sio siri
Uhakiki. Thubutu. Uhakiki. Hawagusi tena huko. Wewe hujiulizi why Mama Angel yupo kimya! Wameshikwa pabaya! Walikuwa wanaonea wanyonge. Kama jipu limeotea ktk ulimi. Hakuna kula. Hakuna kunywa. Hakuna kuongea. Hakuna kunyonya.
 
Asante MH. Rc kwa kusaidia zoezi hili lisitishwe. Sakata lako limesaidia watumishi kupumua, achana na wanaokulaumu na kukulazimisha utoe vyeti vyako hadharani. Wewe ni kinga na ngao kuepusha usumbufu kwa watumishi.
 
Back
Top Bottom