But kama bima ako haijaonekana kwenye system si kuna haja ya kufatilia? Au unamute?Itachukua muda bima zote kuingia kwenye data base. Kama umekata bima kwenye kampuni inayoeleweka huna sababu ya kuwa na wasiwasi.
Heee..[emoji15] [emoji15]Kumbeew
Kufuatilia muhimu ujiridhishe.But kama bima ako haijaonekana kwenye system si kuna haja ya kufatilia? Au unamute?
daa mkuu kuna watu wanaitwa Britam mkoa fulani uko kwa chama kingine hawa jamaa full wababaishaji asee...My experience with Jubilee has been wonderful. Nilipata shida ya windscreen (I had it insured). I got my payment within a very shortest time bila usumbufu!
So I recommend them. Niliwapenda kweli. Maana kwa hii bongo yetu vitu vingi ni figisu figisu!
Uliza tuNaomba unieleweshe vizuri mkuu..
Unajua kwa kanuni mpya kuanzia mwaka Jana, taarifa zote za stika lazima ziingizwe kwenye data base za kamishna wa Bima (Tira).But kama bima ako haijaonekana kwenye system si kuna haja ya kufatilia? Au unamute?
Yani jamani hawa wanasumbua hadi basi..mi nimekata ARIS na sijaona!
Haki ya Mungu haya mambo yana mwisho asee..
Huo uwe ni utaratibu mpya,lakini miaka yote tumekuwa tunakata kwa hao mawakala na unapokwenda kukaguliwa gari lako Trafik wanazikubali.Cha muhimu mawakala waendelee kukatisha ila watoe risiti za EFD kama alivyosema mchangiaji hapo juu ili kuwapunguzia wenye magari usumbufu.Kampuni yoyote ya Bima yenye leseni inatoa Bima halali ....tatizo watu wamekuwa wakikata ovyo kwa mawakala ambao wengine si waaminifu. Dawa hakikisha unapokata bima umepewa covernote/policy na receipt halali ambayo itakuwa attached na EFD receipt. Ukikamatwa kwasababu ya Bima kutokuwa halali lakini una vielelezo hivyo utakuwa salama na utaisaidia TIRA/Polisi kumkamata huyo wakala. Otherwise kuondoa hizo risk zote nenda kakate Bima direct kwenye Insurance Company badala ya mawakala.
Nimekata ZIC miezi miine sasa mpaka sasa hazionekani mtandaoni baada ya kuwafuata wakasema ziko makao makuu wanaingiza, so hakuna cha kampuni kubwa wala ndogo zote bashiteMakampuni makubwa kama Bumaco,Mgen,Sanlaam,Britam,Metropolitan,UAP,TANRE,CRDB,NIC,ZIC.
Kwa siku kadhaa sasa mitandaoni kumekuwa na habari kuwa wenzetu wa usalama barabarani wanataraji kuanza uhakiki wa bima za magari, nimeona kuna link pia imewekwa ili kujua kama bima ni halali au la.
Kwa wenye taarifa tunaomba watueleweshe vizuri, au wenzetu wanaofanya kazi kwenye vyombo vya habari muwaalike hawa waheshimiwa walielezee ili tujue kinachotakiwa.
Mfano, nimejaribu kuingiza namba za gari hiyo link ikasema gari halina bima. Nimeshindwa kuelewa kuwa je si halali, kampuni nilikata bima haitambuliki auni nini!
Na je bima halali zinapatikana wapi, na je wakikuta si halali wanataraji kufanya nini!
Nawakilisha!
Aris ni broker Mkubwa sana wa Bima, hawawezi kucheza na hilo.
Umekata kwenye ofisi zao Sea cliff? Unaweza pia kuuliza kampuni yako ya Bima kama cover note number IPO kwenye system yao
Hizo Bima zenu mmekata kampuni gani? Msitegemee hiyo system kufanya kazi.
TIRA ni wazembe sana,hiyo system ilitengenezwa ili kupunguza fraud lakini mpaka sasa haiwezi kufanya kazi.
Jambo la msingi ni kukata bima kwenye makampuni yanayojulikana.
Makampuni makubwa kama Bumaco,Mgen,Sanlaam,Britam,Metropolitan,UAP,TANRE,CRDB,NIC,ZIC.
Ndio maana nilisema hiyo system ni mbovu bado haijakaa sawa. UAO ni kampuni kubwa sana na haina ubabaishaji.
Mkuu upo sawa kabisa ila kwa makampuni mengi "Limit ya third party property damage" ni Tsh 30m.Yap, ila KWA sababu wewe mbongo kama Mimi huwa hatusomi wala kuuliza kuhusu policy zetu.
Kwa mfano unafahamu kuwa kwenye malipo ya madai unakatwa 5% ya malipo?
Kuna baadhi ya kampuni policy zao zinalipa limit ya 10 milioni ikiwa utasababisha uharibu (third party) na kama uharibifu ni zaidi ya hapo kinachobaki unalipa wewe!!
Kuna policy ukipata loss na dereva ana leseni iliyo chini ya miezi sita unapigwa 15% deduction kwenye malipo yako!
Mkuu tupe contact za broker wako, mobile namba hasa yenye whatsapp, please...Kuna broker wangu aliniambia hii kitu. Yaani nikikata kwake ikitokea issue watashughulikia haraka kwasababu yeye anawapelekea wateja wengi, ila mimi wanaweza kunisumbua kwasababu ni individual tu.