Unaposema makampuni yanayojulikana, una maana gani?Hizo Bima zenu mmekata kampuni gani? Msitegemee hiyo system kufanya kazi.
TIRA ni wazembe sana,hiyo system ilitengenezwa ili kupunguza fraud lakini mpaka sasa haiwezi kufanya kazi.
Jambo la msingi ni kukata bima kwenye makampuni yanayojulikana.
Unaposema makampuni yanayojulikana, una maana gani?
Unaweza kufafanua please!
Kampuni yoyote ya Bima yenye leseni inatoa Bima halali. Tatizo watu wamekuwa wakikata ovyo kwa mawakala ambao wengine si waaminifu. Dawa hakikisha unapokata bima umepewa covernote/policy na receipt halali ambayo itakuwa attached na EFD receipt. Ukikamatwa kwasababu ya Bima kutokuwa halali lakini una vielelezo hivyo utakuwa salama na utaisaidia TIRA/Polisi kumkamata huyo wakala. Otherwise kuondoa hizo risk zote nenda kakate Bima direct kwenye Insurance Company badala ya mawakala.Makampuni makubwa kama Bumaco,Mgen,Sanlaam,Britam,Metropolitan,UAP,TANRE,CRDB,NIC,ZIC.
Mimi nimekata UAP na bado gari yangu haisomi kwenye hiyo database yao.Makampuni makubwa kama Bumaco,Mgen,Sanlaam,Britam,Metropolitan,UAP,TANRE,CRDB,NIC,ZIC.
Mimi nimekata UAP na bado gari yangu haisomi kwenye hiyo database yao
Aris hata mie sijaona.Yani jamani hawa wanasumbua hadi basi..mi nimekata ARIS na sijaona!
Haki ya Mungu haya mambo yana mwisho asee..
Aris ni broker Mkubwa sana wa Bima, hawawezi kucheza na hilo.Aris hata mie sijaona
Yap nilikatia sescliff kabla hawajahama (nasikia wamehama)Aris ni broker Mkubwa sana wa Bima, hawawezi kucheza na hilo.
Umekata kwenye ofisi zao Sea cliff? Unaweza pia kuuliza kampuni yako ya Bima kama cover note number IPO kwenye system yao
Basi cheki na Kampuni ya bima. Walikukatia IPI?Yap nilikatia sescliff kabla hawajahama (nasikia wamehama)
Naomba kukusahihisha kuwa crdb siyo kampuni ya bima ila ni wakala wa bima,pili tan re ni kampuni ya bima ila haifanyi kazi moja kwa moja na mteja (tunaiita reinsurance company).Makampuni makubwa kama Bumaco,Mgen,Sanlaam,Britam,Metropolitan,UAP,TANRE,CRDB,NIC,ZIC.
Makampuni makubwa kama Bumaco,Mgen,Sanlaam,Britam,Metropolitan,UAP,TANRE,CRDB,NIC,ZIC.