Uhakika: Kitakachomgharimu Lowassa 25 Oktoba

Uhakika: Kitakachomgharimu Lowassa 25 Oktoba

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,656
Reaction score
724
lowassa anapaswa kupanda jukwaani na Slaa la sivyo hii kitu itamcost vibaya mno....Slaa anatakiwa ajitokeze tu aforce kiaina kama walivyoforce wenzake akina Mbowe na Maalim kukaa meza moja na Lowasa ktk majukwaa ya hususan ktk kampeni zijazo.
 
Slaa Yupo Na Atafanya Kampeni
Mpaka Tuingie Ikulu
 
Kwa sasa Haitajiki Mtu, Kinachoitajika CCM Ikae Pembeni Mambo Mengine Yataeleweka Mbele ya safari. Tatizo si Mh.

Lowassa au Mh. Magufuli, Tatizo Ni Sisiem Na Ndiyo Watanzania Hawataki Kusikia Mdudu CCM. Adui wa Watanzania si Mwingine ni

Mdudu anaitwa CCM wala si mtu Mmoja Mmoja.

Escrow, Epa, Radar ,Dee Green,Meremeta, Mabehewa ya Train, Nyumba za Serikali Kugawana almost Bure, Kivuko Dar-Bagamoyo CCM
 
hakuna cha slaa ...ccm ishachokwa......slaa akija sawa asipokuja moto uko pale pale
 
Ccm ni mdudu mbaya sana. Anang'ata wakati wa uchaguzi anapuliza ili anayemng'ata asishituke. Ila kwa kipindi hiki ccm imeng'ata hadi kumwachia kovu na donda mng'atwaji. Tafuteni kipozeo kingine sio kupuliza.
 
Slaa anapiga kura moja na ya ndugu zske si nyingi
We unadhani slaa na ndugu zake watampa kura magzfuli
Hakuna kitakacho mcost lowasa
 
Kwa sasa Haitajiki Mtu, Kinachoitajika CCM Ikae Pembeni Mambo Mengine Yataeleweka Mbele ya safari. Tatizo si Mh.

Lowassa au Mh. Magufuli, Tatizo Ni Sisiem Na Ndiyo Watanzania Hawataki Kusikia Mdudu CCM. Adui wa Watanzania si Mwingine ni

Mdudu anaitwa CCM wala si mtu Mmoja Mmoja.

Escrow, Epa, Radar ,Dee Green,Meremeta, Mabehewa ya Train, Nyumba za Serikali Kugawana almost Bure, Kivuko Dar-Bagamoyo CCM

mbona Richmond haujaitaja we jamaaaaaaa
 
mbona Richmond haujaitaja we jamaaaaaaa

Teeeee..teeeeeeeeeeeeeee..teeeeeeeeeeeee.Mwalimu wangu Kipindi Nachukua Degree ya Pili, Alinifundisha Kwenye Somo La Bussiness Strategies ya Kwamba Nisidhubutu Kuitamka Weakness Yoyote Inayohusu Biashara zangu Kwa Wateja.

Hata hivyo Waswahili Usema "Mavi la Kale Hayanuki", Miaka 8 Ni Zamani Sana Na Mgombea Wangu Anasema Mwenye Ushahidi Mahakama Zipo Wazi.
 
Ccm mbele kwa mbele

Kuendelea na ukandamizaji na unyonyaji wa wananchi pamoja na biashara zinazofanyika IKULU
huku mkipiga hela kama kawa yaani rahaaaa but only in Tanzania.Ayse CCM wamepiga hela sana badala ya kuwatumikia wananchi.RICHMOND,EPA,ESCROW mpaka Twiga mnapakia kwenye ndege kupeleka CHINA.Yaani haya yanafanyika Tanzania tu,twendeni mbele kwa mbele maana hawa Watanzania ni wajinga tuuuuu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Teeeee..teeeeeeeeeeeeeee..teeeeeeeeeeeee.Mwalimu wangu Kipindi Nachukua Degree ya Pili, Alinifundisha Kwenye Somo La Bussiness Strategies ya Kwamba Nisidhubutu Kuitamka Weakness Yoyote Inayohusu Biashara zangu Kwa Wateja.

Hata hivyo Waswahili Usema "Mavi la Kale Hayanuki", Miaka 8 Ni Zamani Sana Na Mgombea Wangu Anasema Mwenye Ushahidi Mahakama Zipo Wazi.

asa tatzo ushahidi wanao wenyewe cdm ila kama Edo angekua ccm wangeutoa mapema ila kwa sasa ni ngum kuutoa mana mcheza kwao bana hutunzwa
 
Ccm mbele kwa mbele

mimi binafsi ni mpagani kwenye siasa (yan sina chama) ila ule wimbo wa ccm mbele kwa mbelw ukipiga natksa mguu.hongeren TOT kwa single matata.japo nashndwa kuelewa mbele kwa mbele kivip
 
Back
Top Bottom