Uhakika: Kitakachomgharimu Lowassa 25 Oktoba

Uhakika: Kitakachomgharimu Lowassa 25 Oktoba

Kwa sasa Haitajiki Mtu, Kinachoitajika CCM Ikae Pembeni Mambo Mengine Yataeleweka Mbele ya safari. Tatizo si Mh.

Lowassa au Mh. Magufuli, Tatizo Ni Sisiem Na Ndiyo Watanzania Hawataki Kusikia Mdudu CCM. Adui wa Watanzania si Mwingine ni

Mdudu anaitwa CCM wala si mtu Mmoja Mmoja.


Escrow, Epa, Radar ,Dee Green,Meremeta, Mabehewa ya Train, Nyumba za Serikali Kugawana almost Bure, Kivuko Dar-Bagamoyo CCM

Mbona unasahau kutaja Richmond?
 
Slaa wa nn umati woote alikopita mbona hawakujali kutokuwepo kwa slaa
 
lowassa anapaswa kupanda jukwaani na Slaa la sivyo hii kitu itamcost vibaya mno....Slaa anatakiwa ajitokeze tu aforce kiaina kama walivyoforce wenzake akina Mbowe na Maalim kukaa meza moja na Lowasa ktk majukwaa ya hususan ktk kampeni zijazo.

humjui Lowassa wewe...Mlisema CHADEMA inakufa kwa kuwa SLaa hayupo umeona kilichotokea wakati wa ziara mikoani..kwa kifupi Lowassa ni muhimu kuliko Slaa..Slaa mwache aendelee kushikiwa akili na mkewe sisi tunasonga mbele
 
ashkum c matuc, nashindwa kuelewa akili za ndugu zangu wa ukawa hasa chagga development manifesto, hivi,hawa jamaa waa vichwa vya kuku ama wamerogwa? wanabeba zigo la ushuzi huu wakijinadi at wamebeba marashi,
 
Pahalah acha ujinga wako kwanini unatoa matusi? Huo in ujinga kabisa usirudie
 
Back
Top Bottom