Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 677
Science haina mwisho, ndiomaana tafiti zinafanywa kila siku. Mamajusi wana majibu zaidi kuliko nilionayo mm maana kila siku wanapata observations mpyaIlikuwepo vipi yani sijaelewa yani from no where tu?
Yes. Out of nothing!
Hapo ndipo sayansi inaishia na imani inapoanzia![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
?
... kwahio sayansi inavozid kuadvance, tunavozid kupata majibu ya vitu tusivoweza kudadavua tegemea dini kutoweka kabisa. Zaman kulikua na imani nyingi sana kulinganisha na sasa. Ila zimebak kua "ancient mythology".