Uhaba wa vifaa TANESCO mkoa wa Geita

fundibaskeli

Member
Nov 9, 2016
84
150
WAKUU NAOMBA KWA MWENYE KONEKSHENI NA WAZIRI WA NISHATI ANIFIKISHIE UJUMBE WANGU KWA MUHESHIMIWA WAZIRI...

TANESCO MKOA WA GEITA HAKUNA MATERIAL MWEZI WA NANE SASA....TUMESHALIPIA KILA KITU LAKIN DANA DANA ZMEKUWA GUMZO KILA KUKICHA WANADAI HAWANA VIFAA....NAOMBA WAZIRI ALIINGILIE HILI

وبلله توفق
 
TANESCO

Verified Member
Jul 12, 2014
3,002
2,000

Je umelipa kwa jina gani na namba yako ya simu tafadhali

TANESCO HUDUMA KWA WATEJA

MAKAO MAKUU
 
TANESCO

Verified Member
Jul 12, 2014
3,002
2,000
Badala ya kutoa maelezo mnataka namba za simu!! Nyie watu wa ajabu sana TANESCO
Tafadhali tambua kuwa wateja wanafungiwa kutokana na wa kwanza kulipia wakwanza kufungiwa hivyo tumetaka kuona umelipa lini? Na je umerukwa au nini kilitokea ili kuchukua hatua stahiki.Ushirikiano wako ni muhimu kwenye utoaji wetu wa huduma
 
TANESCO

Verified Member
Jul 12, 2014
3,002
2,000
Tafadhali tambua kuwa wateja wanafungiwa kutokana na wa kwanza kulipia wakwanza kufungiwa hivyo tumetaka kuona umelipa lini? Na je umerukwa au nini kilitokea ili kuchukua hatua stahiki.Ushirikiano wako ni muhimu kwenye utoaji wetu wa huduma
Mrejesho wa swala lako

Ndugu mpendwa mteja wetu

Mteja wa kwanza amelipia tarehe 31 Mei 2019 na mteja wa pili ana week tatu toka alipie.Mara baada ya kuongea nawo wameshangaa sana kuona kuwa walishapatiwa maelezo na ofisi yetu na kuwa sio wao waliolalamika hivyo tunakusihi kuacha wateja husika kufatilia maswala yao kwa kuwa taarifa zao zipo zipo na sisi tupo kuwasikiliza
 
fundibaskeli

Member
Nov 9, 2016
84
150
wakuu hii imekaaaaje kwa upande wako??
Screenshot_20190820-145826_WhatsApp.jpeg
 
fundibaskeli

Member
Nov 9, 2016
84
150
WAKUU NAOMBA KWA MWENYE KONEKSHENI NA AZIRI WA NISHATI ANIFIKISHIE UJUMBE WANGU KWA MUHESHIMIWA WAZIRI...

TANESCO MKOA WA GEITA HAKUNA MATERIAL MWEZI WA NNE SASA....TUMESHALIPIA KILA KITU LAKIN DANA DANA ZMEKUWA GUMZO KILA KUKICHA WANADAI HAWANA VIFAA....NAOMBA WAZIRI ALIINGILIE HILI

وبلله توفق
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom