Bonge ya kinywaji ukichanganya na zanzi au amarula.
Out of topic: hivi mtu akimaliza dose anatakiwa kukaa siku ngapi anywe pombe? Nishapata hamu halafu siku ya 5 hii tangu nimalize madawa kibao
Ndio yalikua majina yetu hayo na hata Sasa majina hayo yanaendelea,na waliitwa hivyo ili ku-Potray nguvu/ubabe alionao Simba na wanyama wengine wa porini.
Sasa hivi vimbwa viitwavyo sijui chiwawa hivyo Ni kwa ajili ya kina Kim Kardashian.

Ila afadhali majina ya siku hizi kuliko hayo Simba sijui nini.
Tumefuga mbwa miaka ya 80 bado nilikuwa nashangaa mtu akimpa mbwa wake majina kama hayo.