mliopo maoficni 2juzeni ni nn kinaendelea juu ya swala hili. au ndio wameshtuka sasa kuwa watapata hasara baada ya pesa ya tanzania kuyumba x 2
Hongera JK kwakudhihirishia ulegelege wa serikali yako
Tsn oil bamaga tunauza, diesel 1980. karibuni wote!
sasa yule mzembe wa ewura alikuwa anatueleza nini?Petroli imeadimika tangu wiki 2 zilizopita hakuna meli ilishusha petroli, dizeli nayo iko hatihati wakati wowote nayo itakata. Petroli iliokuwa inauzwa ni ile ilikuwamo kwenye maghala ya mafuta, waagizaji naona wanaweka mgomo baridi kwasababu ya kushuka kwa shilingi yetu, wanasubiri dola ikipanda ndipo walipie ili waje kuuza kwa bei kubwa.