DOKEZO Uhaba wa Kondom Arusha

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Msituletee magonjwa asee. Huku sisi ni kisiwa cha amani. Kwani mzee siku 2 tu unashindwa vipi kuvumilia ukarudi kwenu 😃😃😃
 
 
Box za Kondom zilipaswa kutangulia kabla ya Land rover
 
Tumia mafuta
 
Poleni sana the republic of chugga, Kuna sovereign state wenzenu nao hili tatizo ni la kawaida sana kwao
 
Kumekuwa na haya malalamiko nimeongea na viongozi husika juzi wamesema vituo vitaongezwa. Zitapatikana. Ila zitumike vizuri.
 
Utakufa vibaya wewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…