Uhaba au kutopatikana wa wanyama watumiwao kama mboga ndio upelekea wengine kuona haramu

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
Ili jambo nataka niliweke wazi tuanze mfano tu watu waliopo pwani.

Wanakula Kila aina ya viumbe vilivyopo baharini sababu vinapatikana ukilinganisha bara ni wanyama na samaki ambao maji tamu.

Jografia ya nchi na nchi ni tofauti ya upatikanaji wa wanyama ndio maana unaweza kusikia Kuna nchi wanakula mamba, kenge, ngedere, mbwa, kitimoto, farasi na n.k sababu ni upatikanaji.

Ukiangalia jangwani SI rahisi mnyama kama nguruwe kumudu jografia ndio maana uwezi kukuta zaidi ya ngamia na mbuzi.

Kuna nchi ambazo idadi ya wanyama kuwa wachache inawapelekea kuongeza nyongeza ya matumizi ya wanyama.
 
Back
Top Bottom