Ugumu wa ndoa ni nini?

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Ugumu wa ndoa ni pale ambapo mwanamke / mke anajiona yupo sawa na mwanaume/ mume wake na hapo hapo anakataa kukaa katika nafasi yake kama mke na kung'ang'ania kwa nguvu kukaa katika nafasi ya mwanaume huku akiamini kwamba anaweza kufanya yale mwanaume anapaswa kufanya ndani ya ndoa
 
Lazima mmoja akubali kuwa chini ya mwingine
 
Ugumu wa ndoa ni pale ambapo mwanamke / mke anajiona yupo sawa na mwanaume/ mume wake na hapo hapo anakataa kukaa katika nafasi yake kama mke na kung'ang'ania kwa nguvu kukaa katika nafasi ya mwanaume huku akiamini kwamba anaweza kufanya yale mwanaume anapaswa kufanya ndani ya ndoa
Kiurahisi ni kwamba,
mwanaume akiwa katika nafasi yake hakuna ugumu wa ndoa, lakini mwanaume akilega mahusiano yanayumba hivyo ili mahusiano yaendelee inabidi mwanamke aanze kuliongoza jahazi jambo ambalo hawapendi. Ndo apo mtu ataona kama vile mwanamke anang'ang'ania nguvu lakini si kweli ni kwamba tu anakukumbusha kuwa umepoteza nguvu, fanya mpango uwe yule mwanaume jasiri niliyempenda.
 
Ugumu wa ndoa ni pale ambapo mwanamke / mke anajiona yupo sawa na mwanaume/ mume wake na hapo hapo anakataa kukaa katika nafasi yake kama mke na kung'ang'ania kwa nguvu kukaa katika nafasi ya mwanaume huku akiamini kwamba anaweza kufanya yale mwanaume anapaswa kufanya ndani ya ndoa
Hao wanawake wa hivyo huwa mnawapata wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom