Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,036
- 3,929
Maana mbaya ipi tena Mkuu?Hilo jina ukitoa herufi za mwanzo na mwisho litaleta maana mbaya
Hiyo sio sababu ni kuwa Nakumatt wana matatizo huko kwao Kenya ambako nako wanazidi kuyafunga maduka yao,kisa ni ugomvi wa wanandungu ambao ndio wanamiliki Nakumatt,wengine wanamwaga mboga na wengine wanamwaga ugali.Watanzania tusiwe wepesi sana wa kulaumu kila jambo kwa Watanzania ,tujaribu kufukunyua chanzo kwanza kabla ya kurupoka kwenye mitandaoSasa watu wanakwenda kununua pipi tu
wengine wanakwenda kushangaa shangaa tu
purchasing power kwa wtz ni ndogo mno
Biashara ya Supermarkets Tanzania ni ngumu sana..
Labda ukaifungulie Oyesterbay au Masaki ambako hakuna viduka vya Mangi.
Sasa watu wanakwenda kununua pipi tu
wengine wanakwenda kushangaa shangaa tu
purchasing power kwa wtz ni ndogo mno
U nailed. Wabongo supermarkets sio culture yao kabisa. Huko ulikosema wakazi wengi ni wageni ambao wamezoea supermarkets.Biashara ya Supermarkets Tanzania ni ngumu sana..
Labda ukaifungulie Oyesterbay au Masaki ambako hakuna viduka vya Mangi.