Ugua pole Sweetlady

Pole sana sweetlady! Mungu akupe nguvu, upone haraka!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
sweetlady pole mpenzi! Mwenyewe hapa najisikia homa inaninyemelea...sijakwambia. Nway Get Well Soon sweetheart! CHA MWISHO why umezima lifone lako?

lifoni la sweetlady niko nayo, halipatikani hewani kwa sabu nimeweka laini yangu
 
Last edited by a moderator:
Duh! Jukwaa hili lina wenyewe!

Na kwa kuwa ni Ndg zangu,marafiki zangu,na hata ni jamaa zangu na ndiyo maana unanikuta siachi kupita huku!
sweetlady; pole sana mpendwa wetu! Malaria ni gonjwa hatari sana kwa mwandamu! Kuwa makini mara dufu na dawa unayotumia na hata hivyo ukila kwa IMANI ya kutosha ya ushindi dhidi ya magonjwa!


Ugua pole sweetlady
 
Last edited by a moderator:
Pole sana sweetlady ndo maana kumbe sikupati lol
 
Last edited by a moderator:
Afu muwe mnapita thread zingine shem, sa siunaona unataka kujipatia mastress!

Shem Mungi nimekupa ruhusa kesho urushe uzi kwamba naumwa .. Wakiuliza sana, wajibu ulcers
 
Last edited by a moderator:
Mashaka ninayo mume wangu... Kila siku wewe tu...why?Ni nini kimebadilika katika ndoa yetu?

Hiki ni kipindi cha majaribu makali sana kwenye ndoa yetu! Unatakiwa kuzidisha maombi maana kupambana na haya maroho inahitaji maombi mpz! God is on our side na hakika tutashinda! In the name of,......!
 

shindwa shetani!!!
 
Last edited by a moderator:
Hiki ni kipindi cha majaribu makali sana kwenye ndoa yetu! Unatakiwa kuzidisha maombi maana kupambana na haya maroho inahitaji maombi mpz! God is on our side na hakika tutashinda! In the name of,......![/QUOTE]

who?? sweetlady?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…