Ugonvi kati ya shafii dauda na akilimani

hao ndo wafwasi wa rage mmezibwa masikio hakuna linaloendelea,. Vp ile simba tv
Mkuu unahangaika bure na wale wazee, hivi unadhani ni kwa nini mtu akifika miaka 60 anatakiwa kustaafu kwenye utumishi wa umma, ni kwa sababu akili inakuwa imeshaanza kuchoka hivyo akili ya mzee Akilimali imeshachoka, eti Shaffii amuzuie Maximo kuja du kweli huyu mzee amechoka vibaya baada ya Manji kutumia ujanja wake wote na kuona makubaliano hayajafikiwa huku uchaguzi unakaribia na single ya Nchunga imeshachuja akaamua atoke na single nyingine, mwambieni Manji na wazee wake wawe wakweli na wastaarabu maana kuna washabiki wa Yanga wenye akili kama za Akilimali wanaweza amini maneno ya huyu mzee na kumdhuru Dauda kisa tu wameaminishwa maneno na hawa wazee waganga njaa.
 
Nilimsikia yule mzee akisema kwenye clouds radio. Nilishangaa, hata sielewi kwa nini mtu mzima yule alifanya hivyo. Shaphii fuatilia hili jambo kwa karibu huyu mzee kakumwagia sumu mbaya. Epuka media mtumie wakili amfungulie defamation case ili yeye na wengine wakome. Nilisikia umempa siku saba za redioni hazifai mtumie barua ya wakili kabisa ili kila kitu kiende kwa utaratibu. Ndo ataacha yeye analeta unazi kwa gharama ya mtu mwingine. Pole sana.
 
Mi mwanayanga,hawa wazee siwapendi ile mbaya kwa jinsi wanavoropoka ropoka.HATA HIVYO shafi amezidi anaroho ya fitina dhidi ya yanga,namfatilia sana redioni hadi kwenye mtandao wake jinsi alivo negative kuhusiana na maswala ya yanga.Juzi kati nilisoma makala yake ndefu sana ya kumkandia Manji asichaguliwe yanga.Afanye kazi yake kwa maadili
 
Kitu kiomoja mbacho natambua ni kuwa ushabiki wa Tanzania umegawanyika katika team 2,Yanga na Simba wawe wachezaji sijui wa Club inayoonekana kukaa vizuri Azam,Mtibwa etc viongozi wa soka,viongozi wa Taifa na whoever wote utakuta aidha ni mashabiki wa Simba au Yanga,kwa watu kama sisi majukumu yetu yanayotuweka hapa Mjini yanaturuhusu kuonyesha mapenzi yetu kwa team tuzipendazo pasipo kuathiri zile team tusizozipenda,lkn kuna kazi nyingine maadili yake tu hayaruhusu kuweka unazi mbele kama ilivyo kazi ya uandishi wa habari anayoifanya Bwana Shaffih Dauda...bila kuingia ndani na kuutafuta ukweli wa shutuma za Mzee Akilimali lkn ni ukweli usiofichika kuwa Shaffih siku zote amekuwa ni mtu wa kuendesha propaganda zinazolalia upande mmoja, kama wewe ni mfatiliaji wa Blog yake utakubaliana na mimi,Shaffih amekuwa ni mtu anayetumia fursa aliyonayo ya kuwa mwandishi wa habari kushughulika in a positive way na mambo yanayoihusu Club yake aipendayo na kwa yale ya Club asiyoipenda in a negative way...hili ni jambo la kupigwa vita sana kwani linashusha hadhi ya tasnia nzima ya uandishi wa habari,ninasikitika kuona Wakurugenzi wa Clouds na Prime Times kwa ujumla wanashindwa kulifanyia kazi hili kwa kuhakikisha maadili ya kazi kwa watumishi wake yanafuatwa.
Napenda nimkumbushe Bwana Shaffih kuwa ushabiki wa soka ni kama wazimu,hana budi kufanya kazi yake kwa tahadhari kwani anavyoendelea kujihusisha na mambo yanayoonekana kuathiri upande mmoja iko siku watu watakuja kuchoka na kuamua kumfanyia kitu mbaya,yeye hajiulizi ni kwanini pamoja na Nchunga kujiapiza kuwa asingekiacha kiti cha Uenyekiti Yanga lkn ilibidi akiachie.....hizi issue za Simba na Yanga asizichukulie poa zinaweza kuja kumgharimu siku moja aache ushakunape wake.
 
bado sijaelewaa.. kuna ushahidi..?

nilimsikia mzee akilimali,then nikamsikiza Dauda,tangu siku ya 1 akasema si kweli yeye hajawah kuwasiliana na maximo,haikuishia hapo,juzi kushinda jana nikamsikiza tena Dauda akasema anatoa siku 7 kwa akili mali kumuomba radh endapo atashindwa kuwasilisha vielelezo vya kuthibitisha kauli yake,then akasema atakwenda mahakaman,Dauda alisema Akilimali amuombe radhi yeye(dauda) kwa kitisha press conference kama alivoita kwa mara ya 1 kumlalamikia,,,,sasa nani mkweli???tutajua tu,asipoenda mahakaman(dauda) na ikiwa ameahidi kwenda,pia tutajiuliza
 
Hadithi hii imekaa kimbeambea sana. Hivi kweli Shaffi Dauda anaouwezo wa kumzuia Maximo kuja kufundisha YANGA kama kweli alikuwa na mpango huo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??????????????????:sad:

nahis hawa wazee wanatafuta justification tu,,,,,,
 
clouds fm imekaa ki-simba zaidi.inaanza kupoteza mwelekeo.

inawezekana ingawa pia kama great thinker ungetafakari kauli za mzee akili(mali)mfano aliposema kuwa ana 750m za usajiri alikuwa yeye au someone was speaking through his mouth!!!utakuwa ni wehu iliopindukia kama mshauri wa kuaminika wa maxmo hapa tanzania ni shafii pamoja na ukuda wake unaosemwa!!!!
Nimesikia akili(mali)akisema maxmo amezi "forward" email na sms za shafii back to yanga mzee aziweke jamvini umbea uzikwe!!!

Nawasilisha.
 
ila ndala a.k.a kandambili anapata shida, mara anafungwa magoli matano, hapohapo simba anamchumbia, kwingine kila siku watu wanamtembelea/wanamkanyaga wanapoenda mitaani na kuoga....yaani yanga inakanyagwa kishenzii aisee.
 
naamini shffi hawezi kufanya kitu kama hicho,lakini fitina na yanga anazo kweli,aache tabia hizo.au Anatumiwa na rage?!
 
umenifurahisha sana mshinda njaa sudan wewe ebu nieleze ilikuaje ukalala reception au ndo ulikua unaomba penati3,. Hahahahaaa rage bwana unavituko
 
naamini shffi hawezi kufanya kitu kama hicho,lakini fitina na yanga anazo kweli,aache tabia hizo.au Anatumiwa na rage?!
Nyie watu wa Yanga mna vituko kweli, ile sredi ya Okwi kusaini Yanga ndani ya masaa 72 mliweka hadi source Shafii Dauda blog na mkashadadia kweli, siku akipost kitu ambacho sio positive kwa Yanga anakuwa anatumiwa na Rage lakini akipost ambayo ni positive kwa Yanga mnakuwa wa kwanza kuanzisha sred humu sasa hapo sijui anakuwa ametumiwa na nani.
 
Huyo Shafi ni anti-Yanga kweli. Naweza kuamini maneno ya mzee Akilimali. Mabaya yote ya Yanga hakawii kuyaniika hata kwenye You Tube. Sidhani kama kwa Simba anafanya hivyo. Siku Mwasika alipomtwisha ngumi mwamuzi haraka sana kaweka kwenye You Tube almradi Yanga waonekane wabaya.

Uandishi pasipo elimu au kuzingatia taaluma ni shida sana
 
Anajiita mchambuzi wa soka wakati hata kuongea hawezi. Mchambuzi wa soka Tanzania ni Dr Leakey peke yake. Hawa wengine njaa na sifa tu zinawasumbua. Ndio akina Shafi hao
 
Ni kweli kwa mengine, ila hili nina mashaka nalo. Huyu mtoa tuhuma haaminiki, mara zote amekuwa akitumiwa. Na safari hii kamvagaa Shafii Dauda, kaaaaaazi kwelikweli.

Tafadhali msimuhukumu Shafii, Mzee huyu katafuta pa kumalizia porojo zake
 
Huyo Shafi ni anti-Yanga kweli. Naweza kuamini maneno ya mzee Akilimali. Mabaya yote ya Yanga hakawii kuyaniika hata kwenye You Tube. Sidhani kama kwa Simba anafanya hivyo. Siku Mwasika alipomtwisha ngumi mwamuzi haraka sana kaweka kwenye You Tube almradi Yanga waonekane wabaya.

Uandishi pasipo elimu au kuzingatia taaluma ni shida sana

Kwa mpenda maendeleo hutachukia kukosolewa. Shafii anawajenga yanga, udhaifu ni sehemu ya maisha, anayekwambia hapa hauko sawa anataka upendeze zaidi na uende mbali, vurugu za nini? Hata kama Shafii ni Simba damu, moyo wake unapenda kuona Yanga yenye mafanikio, sio five star jamani. Adui yako usimwonyeshe chakula bali muombee njaa
 
hata mimi n ingekua Maximo NIsingefundisha yanga!!! Kutoka kua Kocha wa Timu ya taifa mpaka club?? the same country?????
 
hata mimi n ingekua Maximo NIsingefundisha yanga!!! Kutoka kua Kocha wa Timu ya taifa mpaka club?? the same country?????

kaka katika soka we ni mgeni sana ee, uliza scolar wa brazil to chels na wengne wakina erickson,mclaren
 
Back
Top Bottom