Ugonjwa wangu ni weupee...

Kwa hiyo sie wengine cheusi mangala ndo basi tena... jitokezeni mnaopenda rangi hii mtufariji pls

Hahha...mbona wafuas mnao!!...sema hawajaamka bado!
 
Kawaida wanaume weupe hupenda ke weusi na ke weusi hupenda me weupe..

Its automatically watu hupenda ku-mix rangi.
 
Kawaida wanaume weupe hupenda ke weusi na ke weusi hupenda me weupe..

Its automatically watu hupenda ku-mix rangi.

Kuna ambao sio weupe na pia sio weuc...wanaitwa wa maj ya kunde...kwan wao wapo wap!
 
Sio lazima kila mweupe huku na kule awe mweupe,wengine huku weupe kule weussssi,sasa ukikutana na huyo wa hivyo magombe junior sijui utamuacha!
 
Last edited by a moderator:
legezeni mashart kidogo jamani carolite zishapigwa marufuku lol.!

Haha kuna jamaa alisema ye akina vyeus mangala hapindui..tena akiwa mfup ndo added advantage....
 
Sio lazima kila mweupe huku na kule awe mweupe,wengine huku weupe kule weussssi,sasa ukikutana na huyo wa hivyo magombe junior sijui utamuacha!

Hahah..mpaka umri huu cjakutana na mixture iyo...nadhan haipo....

Ujue kwa nje anapigwa na jua vumbi...so ndan loooh mashalaah
 
Last edited by a moderator:
Wewe hata pm hujibu..tukusaidiaje?

Teheeee mkuu sasa mambo ya chumbani unakuja kusemea sebuleni mbele ya watoto? Hata kama kunifinya si unifinyie chumbaniiii...? Hata watoto wakiniuliza mbona ngozi inaonekana vile niweze kusema niling'atwa na mbu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…