Ugonjwa wangu ni weupee...

Ugonjwa wangu ni weupee...

Hamnaga hiyo mkuu,mi ni mweupe kbs lkn sina hata dalili ya kibamia badala yake ni mzigo hadi kero...hahaha

Tehe tehe...zigo zigoo!!!...hongera mkuu maana kibamia ni tatzo umu ndan km dengue
..
 
mi sipendi kuwa nae ila ninae{ na sasa kalala baada ya shuhuli pevu} toto blaaki kama mkaa... kila nikimtazama nad****

Hahahah....asa panakudi.....sha wap....maana weusi km mkaa ni tatzo mkuu...
 
Ofcourse panapofichwa ni hatari zaid km tu kwny mikono na miguu panapoonekana ni peupe, ila pale penyewe huwa ni peusi tofauti na sehem nyingne ya mwili. Yan fanya utafiti uone.

Yah...kwa pale nakubal...ila maeneo ya kwenye manido...mapa...ja....kiuno tumbo loooh balaa lake ilooo...ni shidaaa
 
Wasalaam wana mmu...
Bas wadau mi msichana akiwa mweupe loooh hoiii...hua nawaza kama uson au mikoni ni meupe kiac icho je panapofichwa!!!

Hii imeniathiri kiasi cha kunifanya niwe na list ya wadada weupee tuu ingawa i preffer natural si ya carolite...

Kwan we rang gan unakutoa pangon!..kwa ote me na ke

Kitu Mpingo Bwana halafu awe mzuri! Ila preferences za rangi si issue sana, awe mweupe, wa pinki, bluu , mweusi, njano, kikubwa apendeze na asiwe amekataliwa na carolite!
 
Kitu Mpingo Bwana halafu awe mzuri! Ila preferences za rangi si issue sana, awe mweupe, wa pinki, bluu , mweusi, njano, kikubwa apendeze na asiwe amekataliwa na carolite!

Tehe tehe...apo kwe carolite apo ndo sio Kabisaaaa....
 
Kwa hiyo sie wengine cheusi mangala ndo basi tena... jitokezeni mnaopenda rangi hii mtufariji pls
 
Back
Top Bottom