kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,302
Mimi nilipewa ya siku 7 imesha maumivu bado yapo ni mda km wa mienzi miwili, vyakwako ulikaa navyo mda gani mkuu ,mm nahisi nimekaa navyo takribani miaka miwili sasa ndipo nikagundua ni hivyo.
cha msingi kacheki hsptMimi nilipewa ya siku 7 imesha maumivu bado yapo ni mda km wa mienzi miwili, vyakwako ulikaa navyo mda gani mkuu ,mm nahisi nimekaa navyo takribani miaka miwili sasa ndipo nikagundua ni hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu vp now uko safe? dawa za hospital zilisaidia or?Asante sana kwa somo zuri kesho naanza hizo tiba nimeteseka sana na huyu Helcobacter
Mimi nilipima kwa kipimo cha kawaida hospital ya Serikali akaonekana huyo bakteria h.pyrol . nimetumia helgo Kit dose ya wiki moja Kama nilivyoandikiwa na dokta sasa ni mienzi miwili Hali ni ile Ile.Mkuu hongera kwa thread mwanana kabisa.
Lkn niwashauri wale wenye vidonda vya tumbo vilivyo sababishwa na bacteria aitwaye H. Pyrol, hawa hitaji kuhangaika kwasababu dawa ya hospital itwayo Herigo Kit inatibu vzr sana.
Lkn kwa sisi wenye vidonda vitokanavyo na acid ndio tuna shida kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuhh basi wewe hazija kuelewaMimi nilipima kwa kipimo cha kawaida hospital ya Serikali akaonekana huyo bakteria h.pyrol . nimetumia helgo Kit dose ya wiki moja Kama nilivyoandikiwa na dokta sasa ni mienzi miwili Hali ni ile Ile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikate tamaa Ndugu.Mimi naelekea kukata tamaa na huu ugonjwa nasubiri uniuwe tu kila dawa inadunda tu
Kabla ya kunywa kwanza upeleke Maabara kupima uhakikishe kwanza huo mkojo wako hauna maradhi ndio waweza kunywa. Lakini Ukihitaji Dawa ya kukutibu vidonda vyako vya tumbo ninayo ukihitaji nitafute kwa wakati wako nitaweza kukutibia kwa siku 21 na utapona kabisa na kula chakula chochote ukitakacho. Ukitaka mati,babu yangu unaweza kunitafuta kwaAsubuh ya kesho mapema naenda kunywa glass ya mkojo wangu.Dah!ni ngumu sana kila nikifikiria ila nitajikaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha niulize machache kwa faida ya wengi kabla sijaja PM..Kabla ya kunywa kwanza upeleke Maabara kupima uhakikishe kwanza huo mkojo wako hauna maradhi ndio waweza kunywa. Lakini Ukihitaji Dawa ya kukutibu vidonda vyako vya tumbo ninayo ukihitaji nitafute kwa wakati wako nitaweza kukutibia kwa siku 21 na utapona kabisa na kula chakula chochote ukitakacho. Ukitaka mati,babu yangu unaweza kunitafuta kwa
Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
Mmmh kweli?Dawa ya vidonda vya tumbo Mfahamishe huyo jamaa anayeumwa na Vidonda vya Tumbo atumie Dawa ya Hii ya Kienyeji Akiamka Asubuhi kabla ya kula kitu akojowe mkojo wake mwenyewe kwa kipimo cha Glasi moja awe anakunywa mkojo wake kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha Aende kupima hivyo Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa Mwambie ajaribu kutumia hiyo Dawa itamsaidia Sana.
Tahadhari:
Kabla ya kunywa huo Mkojo wake aende kupima Hospitali huo mkojo wake je unayo maradhi ya Zinaa au hauna? Ahakikishe Mkojo hauna Maradhi yoyote yale ndio anaweza kuutumia kwa kunywa .