Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Hongera sana mleta uzi kwa uzi mzuri sana namna hii.

Pia ningeongezea hapo kwenye mlonge longe.
Kama mtu anao uwezo wa kupata juice glasi moja asubuhi na katika glasi ile ya juice ya matunda asili akaweka ndani kijiko kimoja cha mlonge longe na kijiko kimoja cha unga wa ubuyu halafu akatumia asali mbichi kuongeza landa ya juice badala ya sukari, ataishi maisha mazuri sana.

Unga wa ubuyu una sifa moja kubwa ya kuongeza wingi wa bacteria wazuri ndani ya mwili(good bacteria) ambao ni washindani wa bacteria wabaya katika mfumo wa chakula wa mwanadamu.

Kwenye utumbo wa mwanadamu kuna mpambano wa kudumu wa bacteria wabaya na wazuri ambao wote wanataka ku dominate system ya mmeng'enyo wa chakula, bacteria watakao kuwa wengi ndio wataamua hali ya kiafya ya huyo mtu.

Unga huu una tabia ya kuwa kama chakula cha bacteria wazuri(prebiotic).

Kuna utafiti mmoja ulifanywa na mzungu mmoja kwenye jamii ya Wahadzabe.
Wahadzabe wa pale Dodoma hawana tiba nzuri kama zetu za hospitali na wanaishi maisha ya msituni na kuwinda muda wote, lakini wanaishi maisha yasiyo na magonjwa.

Sababu kubwa ni kuwa wakiamka asubuhi badala ya kunywa chai wao huchukua unga wa ubuyu na kuuloweka kwenye maji halafu wanakoroga na kunywa ule mchanganyiko kama chai vile.

Kitu hiki kimekuwa kikiwalinda sana dhidi ya magonjwa hasa haya ya madonda ya tumbo.
 
Mkuu hongera kwa thread mwanana kabisa.
Lkn niwashauri wale wenye vidonda vya tumbo vilivyo sababishwa na bacteria aitwaye H. Pyrol, hawa hitaji kuhangaika kwasababu dawa ya hospital itwayo Herigo Kit inatibu vzr sana.
Lkn kwa sisi wenye vidonda vitokanavyo na acid ndio tuna shida kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilipima kwa kipimo cha kawaida hospital ya Serikali akaonekana huyo bakteria h.pyrol . nimetumia helgo Kit dose ya wiki moja Kama nilivyoandikiwa na dokta sasa ni mienzi miwili Hali ni ile Ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asubuh ya kesho mapema naenda kunywa glass ya mkojo wangu.Dah!ni ngumu sana kila nikifikiria ila nitajikaza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kunywa kwanza upeleke Maabara kupima uhakikishe kwanza huo mkojo wako hauna maradhi ndio waweza kunywa. Lakini Ukihitaji Dawa ya kukutibu vidonda vyako vya tumbo ninayo ukihitaji nitafute kwa wakati wako nitaweza kukutibia kwa siku 21 na utapona kabisa na kula chakula chochote ukitakacho. Ukitaka mati,babu yangu unaweza kunitafuta kwa
Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 
Wacha niulize machache kwa faida ya wengi kabla sijaja PM..
Kuhusu check up nimeumwa sana na nimepima kila kitu mpaka na endoscopy.So sina magonjwa yeyote..

Kama nakunywa dawa za vidonda mkojo wangu hauwez kua na effect yeyote...?
Kama tiba ya mkojo ni ya uhakika kuna haja gani ya kunywa hii dawa ya siku 21???

Nimekunywa dawa nyingi za kienyeji zipo zilizonipa nafuu ila sikupona kabisa na zipo ambazo nasema ni kama nimetapeliwa hazijanisaidia kabisaaa.Sasa swali langu nikinywa hio dawa ya siku 21 haikunisaidia inakuaje???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa ya vidonda vya tumbo Mfahamishe huyo jamaa anayeumwa na Vidonda vya Tumbo atumie Dawa ya Hii ya Kienyeji Akiamka Asubuhi kabla ya kula kitu akojowe mkojo wake mwenyewe kwa kipimo cha Glasi moja awe anakunywa mkojo wake kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha Aende kupima hivyo Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa Mwambie ajaribu kutumia hiyo Dawa itamsaidia Sana.

Tahadhari:
Kabla ya kunywa huo Mkojo wake aende kupima Hospitali huo mkojo wake je unayo maradhi ya Zinaa au hauna? Ahakikishe Mkojo hauna Maradhi yoyote yale ndio anaweza kuutumia kwa kunywa .
Mmmh kweli?
 
Back
Top Bottom