Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Mama yangu aliteseka sana na ulcers kwa muda mrefu.....mlonge ukichanganya na asali ndiyo vilivomsaidia mpaka leo ulcers kwake ni historia
 
Dawa ni nyingi sana, ila kabla ya dawa nakushauri uende kwa wataalamu, na pima vipimo muhimu kujirizisha kwanza kabla ya tiba, mfano
1.H.pylori test
2.abdominal utrasound especially kama umefikia stages mbaya yaani complications, kama vile perforations
3.oesphageal gastro duodenalscopy (ambacho ndicho sahihi kwa tatizo lako, yaani Diagnostic test)
4.lkn pia tambua tiba sahihi ina husisha kuepuka risks factors, yaani vyanzo vya tatizo, kama sigara, pombe, stress, dawa baadhi NSAIDs,vyakula nk,
.tiba dawa ,na hatua ya mwisho pia ni upasuaji !
yah ndo njia sahihi wengi watamdanganya na dawa za asili ambazo n ghali...
 
Tumia mafuta ya mkia wa kondoo, nilikuwa na tatizo hilo ila sasa nipo sawa
 
Dawa ni nyingi sana, ila kabla ya dawa nakushauri uende kwa wataalamu, na pima vipimo muhimu kujirizisha kwanza kabla ya tiba, mfano
1.H.pylori test
2.abdominal utrasound especially kama umefikia stages mbaya yaani complications, kama vile perforations
3.oesphageal gastro duodenalscopy (ambacho ndicho sahihi kwa tatizo lako, yaani Diagnostic test)
4.lkn pia tambua tiba sahihi ina husisha kuepuka risks factors, yaani vyanzo vya tatizo, kama sigara, pombe, stress, dawa baadhi NSAIDs,vyakula nk,
.tiba dawa ,na hatua ya mwisho pia ni upasuaji !

Kaka nimeshaenda kwa DCtari akanipima na kuniambia ninavidonda vya tumbo ila ndo vina anza alafu bado vichanga wakanipa dawa nimeshazitumia ila naona bado hali sio nzuri
 
kama upo dar es salaa mtafute jamaa mmoja anaitwa maalim swahib atakupatia dawa na utapona kwa uwezo wa Allah inshaallah
anapatikana pale kigogo chawote ukipanda gari za kwenda kigogo unamwambia konda akushushe shule msing kigogo mwisho wa ukuta wa shule kma unarudi njia panda ya kigogo utaona kibao kimeandikwa Tanzania bila vidonda vya tumbo inawezekana,
nakutakia kila la kheri.
 
Mimi pia ni mgonjwa Ulcers niliyeshauliwa kutumia Mchanganyiko wa Binzari manjano kwenye maji ya moto kwa muda wa siku 3 kila jioni kwa juice ya 1liter, na baada ya hapo Limau+Maji ya uvuguvugu 1liter kwa siku tatu pia. Naendele na dawa na nmepata nafuu, aliyenishauri alipona kabisa.... Binzari ni 1tea spoon per liter of water
 
Ndugu mimi Binafsi nilikuwa na tatizo la kuumwa bidonda vya tumbo na vimenitesa na nimetoembea hospitali zote za mkoani Arusha ukweli nilipata nafuu tu ila sikupona na madawa ya hospitalini. Dawa ya ukweli ya vidonda vya tumbo nia Asali Mbichi ya nyuki wadogo. Hakiyamungu imenisaidia sana na lao hii nakula mapaka pilipili tena mpaka nyama ya kuchoma. Matumizi ni kula zaidi ya viijiko viwili ila si zaidi ya vijiko vinne kila asubuhi kabla hujala kitu yoyote na usiku kabla ya kulala tumia mfululizo kwa muda kama wa miezi miwili. Usipopona utakuwa na kanza ya utumbo. Fanya hivyo kwa uwezo wa mungu utapona.
 
  • Thanks
Reactions: NHS
Tafuta unga fulani unatengenezwa kwa ndizi then pika uji wake ni dawa kubwa sana, sijui kama unapatikana sehemu nyingine zaidi ya upareni!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Vidonda vya tumbo limekuwa ni tatizo kubwa linalokuwa kila siku na inasadikika kuwa kila mtu anavidonda vya tumbo.Binafsi nilisumbuliwa kwa miaka kadhaa lakini kwa sasa nimepona na nilitibiwa kwa Home remedy ya jamaa mmoja yupo Musoma anaitwa Emanuel. namba zake ni 0625907454.Nilipona kwa siku chache amin Two weeks.
 
Kwa wale wenye kutaka Dawa ya kuponyesha Vidonda vya Tumbo (Stomach ulser) Wanione mimi nitawapa dawa ya kutumia kwa muda wa siku 21 na utapona kabisa na kula chakula cha aina yoyote ile hata pilpili ukitaka kula utakula na haito kudhuru. Ukihitaji Matibabu toka kwangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
daaaah nitamtafuta coz nasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo
Hellow..,habar.mie ni daktar nilyesomea kabisa taaluma yangu.na co km hawa wengine wa tba mbadala wanaojiita madaktar bila ya kusomea udaktar wao.

Ushaur wangu kwako,pamoja nakutafuta tiba.kwanza nikupe pole kwa tatizo hilo kinalokusumbua,ila kuweni makin na hizo dawa mbadala ambazo/kama hazijathibitishwa na mamlaka za Afya kwan zingine huwa na madhara hatar sana kwa afya zetu na kutokea kugharimu sana maisha yetu.

Kuna product inaitwa TREVO,hyo imethibitishwa na taasis za Afya za kimataifa na inafanya vizur sana kutbu na shida km hyo yako.(NI USHAURI TU).

Maelezo zaid na jinsi ya kuipata.
0768228904.WhatsApp/Piga.
www.trevo.life/mbilinyinoeli
View attachment 376151View attachment 376152View attachment 376153View attachment 376154
 
thanx
nitakuchek
 
Back
Top Bottom