Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Daniel Moses, unapoongelea masuala ya tiba za binadamu hutakiwi kubahatisha wala kufanya majaribio, afya ya binadamu sio kitu cha kubahatisha, waache wataalam na mamlaka husika zisimamie mambo haya, haingii akilini unakurupuka huelewi ugonjwa, huelewi visibabishi, huelewi namna mwili unavyoathirika, huelewi dalili, huelewi matibabu na namna yanavyotibu tatizo, huelewi namna ya kujikinga ..... Acha utapeli....
 
VIDONDA VYA TUMBO

Ni tatizo linalotokana na kuvuja kwa tindikali kwa wingi kuliko mahitaji kutoka katika nyongo kwenda kwenye fuko kuu(tumbo).Tindikali hii huweza kutoboatoboa kabisa kuta za hili fuko kuu lakini jambo hili linashindikana kwa sababu tu kuta za tumbo hili limezungukwa na Tanaka Nene la utando jamii ya mafuta.Tabaka hilo lina tishu ambazo zinavujisha tindikali rafiki ambazo hufanya kazi ya kudhibiti viwango vya ile tindikali nyongo nakuweka uwiano wa mahitaji halisi.

Aidha kazi ya tindikali hii itokayo kwenye nyongo ni kurahisiaha mmengenyo wa chakula katika ngazi hii.Tindikali hii inapotoka humwagikia kwenye chakula kilichopo hapo na chakula hicho hubadilika na kuwa tayar mmengenyo halisi.Kumbuka kuwa hatua ya kwanza ya kwanza ya umeng'enyaj huanzia kinywan ambapo meno hufanya kazi ya kupondaponda chakula na tishu za kinywa hutoa Accid tindikali(mate)ambayo hugeuza maramoja muonekano na mazingira ya chakula hicho na ndio maana chakula kikitemwa inachukiza kukitazama.

Baada ya chakula kufika kwenye fuko kuu na kufikiwa na tindikali nyongo fuko hili hijisigina lenyewe,na ufanyaji kazi hii hauzingatii kuwepo au kutokuwepo kwa chakula kazi hiyo huendelea tu.

Sasa kazi hii inapokuwa ikiendelea pakiwa hakuna chakula basi kuta yaani lile tabaka la utando ule wa mafuta hujeruhiwa taratibu na hatimaye nyongo hujipenyeza na kubabuwa mafuta na hata kulifukia fuko halisi na hapo vidonda hutokea.Vilevile mtu anapokuwa na msongo mkubwa wa mawazo,tindikali hutoka kwa wingi na huizidi nguvu ile tindikali rafiki itokayo kwenye tishu.Hali hii pia huathir utando wa tumbo na vidonda hutokea,ndio maana inashauriwa watu wazingatie ratiba ya kula kwa mujibu wa kanuni za afya na pia kuepuka kula vyakula vyenye vichocheo kama ndimu,mbilimbi,embembichi n.k.Pia kujiepusha na kukasirika mara kwa Mara hususan wale walioathirika.

DALILI ZA UGONJWA HUO

1.Maumivu makali tumboni yaambatanayo na hisia za umoto.

2.Kuchoka n.k na hali hizi hujitokeza waziwazi pale mtu anapokuwa na njaa au anapogombana au kukasirika.

Mtu akinywa maziwa hali hii hupungua ila maziwa si dawa ya vidonda hivyo ila hufunika tu kwa muda na hivyo yanapomeng'enywa hugeuzwa na kuwa virutubisho mbalimbali na makapi'basi vidonda hubaki wazi na maumivu kuanza upya.

Ugonjwa huu unasumbua sana mpaka wengine huhisi eti hakuna dawa.Ukweli tiba zipo kwa maelekezo sahihi

Ash shifaa ni dawa yenye nguvu yakukomesha majeraha na maumivu ya vidonda kwa wastani wa siku 21 hadi 90.Ina ladha nzuri ni rahisi kutumia pia unaweza safir nayo popote.Ina viini lishe na antibiotic asilia itokanayo na mimea tiba na asali

Share kwa wingi na wengine wapate faida
 
Wakuu habari za leo, nina ndugu yangu anasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo tangu mwaka 1993 alipopima na kugundulika kuwa ana matatizo hayo.

Ombi langu kwenu kama kuna mtu nafafahamu dawa ya vidonda vya tumbo hata kama ya kienyeje naomba msaada wenu wa wapi inapatikana na kiasi gani. Alishatumia dawa za aina mbalimbali mpaka ile dozi kubwa ya HELIGO KIT, lakini bado.

Naomba msaada wenu!
tumeshafafanua ugonjwa huo na tiba zake ni ndani ya siku 21 kama hutojal wasiliana nas 0712770729
 
Wakuu habari za leo, nina ndugu yangu anasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo tangu mwaka 1993 alipopima na kugundulika kuwa ana matatizo hayo.

Ombi langu kwenu kama kuna mtu nafafahamu dawa ya vidonda vya tumbo hata kama ya kienyeje naomba msaada wenu wa wapi inapatikana na kiasi gani. Alishatumia dawa za aina mbalimbali mpaka ile dozi kubwa ya HELIGO KIT, lakini bado.

Naomba msaada wenu!
tumeufafanua kwa kina ugojwa huo humu na dozi yake huwa kwa siku 21.wasiliana nasi kama hutojal 0712770729
 
Kwa Wale Wenye Maradhi sugu Yasiyotibika Mahospitalini Ukimwi,HIV, Maradhi ya Hepatiti B
Virus, Maradhi ya Saratani (Cancer),Maradhi ya Figo ya aina yoyote yale, Maradhi Ya Kifuwa Kikuu Maradhi ya Presha,Maradhi ya Kisukari,Maradhi ya Kiharusi (Stroke), Uvimbe kwenye Kizazi (Ovarian cyst) Fibroid,Maradhi ya UTI Sugu,Maradhi ya Pumu,Maradhi ya Ngiri, Maradhi ya Vidonda vya tumbo,Maradhi ya Visunzuwa (Vikaanga) Sehemu za siri,Maradhi ya Fanagasi Sehemu zozote mwilini
Maradhi ya Chango la Kizazi na Maradhi ya Tezi Dume (Prostate Cancer) Wanitafute Mimi Ninaweza kuwatibia na Wakapona Kwa mawasiliano na mimi Bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Mkuu vipi kuhusu ugojwa wa moyo(kupanuka moyo na tundu ktk moyo)
 
I hope Kuna wataalum wengi sana humu na nilikua nauliza hivi ni kwanini wanawake wengi sana huugua vidonda vya tumbo tofauti na wanaume
 
Unapoongelea vidonda vya tumbo kuna vinavyotokea tumboni penyewe "gastric ulcers" hivi hutokea zaidi kwa wanawake kuliko wanaume hasa wenye umri zaidi ya miaka 60, vingine hutokea kwenye utumbo mdogo wa juu "duodenal ulcers" hivi huathiri zaidi wanaume hasa wenye umri kuanzia miaka 45 sasa "gastric ulcers" prevalence yake ni kubwa kuliko duodenal ulcers ndo maana wagonjwa wengi ni wanawake.Hicho ndicho ninachojua mimi, labda kama kuna mwenye la ziada
 
Wanajanvi habari ya kazi naomba msaada wa haraka sana nina rafiki yangu kipenzi anaumwa kiasi cha kukata Tamaa.

Anaumwa vidonda sugu vya tumbo kiasi kwamba vimempelekea tumbo kuvimba sana Kuna kipindi alikuwa anaharisha na kutapika damu coz of hivyo vidonda amejaribu dawa nyingi sana lakini hakuna mafanikio.

But sasa vimemvimbisha tumbo na vinamtesa balaa kiasi cha kumkatisha tamaa ya kuishi.

Naamini hapa jukwaani siwezi kukosa dawa na tiba mungu akubariki wote mtakaonisaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom