Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Je anapatikana mikoani ? Kama kuna member anyefahamu branch or contact za dk.rahabu,please provide it to me.
 
Una uhakika unasumbuliwa na Ulcers au gesi ya tumbo tu?.

Ukiwa umegundua hilo hospitali wangekushauri na kukupa dawa ya kutumia za hospitali.

Lakini pia waweza kutumia asali mbichi, changanya na Tangawizi na vitunguu swaumu katika chai au maji ya moto upige kila siku. epuka kula vitu vyenye mwasho na vyenye kuleta gesi na acid tumboni kama pilipili nyanya, kahawa, maji ya baridi sana, vinywaji vya gesi, michanganyiko ya vyakula (pengine hata maziwa japo wapo wengine yanawasaidia lakini haihauriwi kwa kuwa yanaweza kusababisha acid tumboni), epuka vyakula vyenye kambakamba kama ndizi; epuka kuwaza sana na hasira za mara kwa mara; jitahidi kuzingatia muda wa kula pia.

Maelezo ya Kitaalamu fuata hapa:

YouTube - Peptic Ulcers

Natural Treatments for Heartburn, Ulcers and GERD

YouTube - Diet & Nutrition : How to Treat Ulcers

YouTube - How to correct Acid Reflux GERD Indegestion naturally for good

APPLE CIDER VINEGAR, GINGER & WATER
YouTube - Acid Reflux Natural Remedies - The Top 7
http://www.youtube.com/watch?v=qiUYE7rMxV8&feature=related
 
nenda kwa Dk Rahabu.Kila siku anajitangaza amegundua dawa ya Ulcers FITERAWA.hadi bungeni amepata ujiko.

Yupo Buguruni karibu na kituo cha mafuta barabara ya uhuru na mandela, ghorofa ya kwanza jengo linalotazamana na kituo cha mafuta.
 
Achukue maganda ya komamanga uyakaushe juani yakauke kisha uyatwange mpaka yatowe unga kipimo cha wa kikombe cha kahawa na achukue Asali kipimo cha kikombe cha kahawa Uchanganye pamoja na unga wa maganda ya komamanga Utengeneze hivyo kila siku Unywe asubuhi kikombe kimoja kabla ya kula kitu na jioni kikombe kimoja kabla ya kula kitu kwa Muda wa Mwezi mmoja Inshaallah kwa uwezo wa Allah Utapona.
 
Ili kupunguza makali au kujiepusha kabisa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo, unapaswa kujiepusha na tabia ya kula na kushiba kupita kiasi, kwa sababu kushiba sana huchochea uzalishaji wa asidi nyingi wakati wa usagaji chakula tumboni.

Mbali na hilo, vyakula vyenye mafuta na sukari nyingi na vyenye kiwango kidogo sana cha kamba lishe, imethibitika kuwa husababisha madhara mengi tumboni.

Katika makala ya leo, tutaangalia aina ya vyakula anavyopaswa kula au kuviepuka mgonjwa ili kupata nafuu na kuishi bila kusumbuliwa nao:

VYAKULA VYENYE VIUNGO VINGI

Epuka ulaji wa vyakula vilivyopikwa na kuungwa viungo vingi vya aina mbalimbali, kama vile pilipili kali za aina zote na viungo vingine vyenye ladha ya ukali ambavyo hutiwa ndani ya mboga ama chakula ili kuongeza ladha.

POMBE NA KAHAWA

Pombe na kahawa au vinywaji vingine vyenye ‘caffeine', vinaweza kuleta matatizo kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo na kwa mtu asiye navyo anaweza kupatwa na tatizo, hivyo ni vyema kuepuka au kutumia kwa kiasi kidogo vinywaji hivi. Kimsingi vinywaji hivi huongeza asidi tumboni na hivyo vinaweza kusababisha vidonda au kuzidisha maumivu kwa anayeumwa.

ULAJI CHUMVI

Utafiti uliowahi kufanywa nchini Marekani umeonesha kuwepo kwa uhusiano kati ya ulaji chumvi na vidonda vya tumbo. Mgonjwa anashauriwa kuepuka ulaji wa vyakula vyenye chumvi nyingi, hususan vyakula vya kusindika ambavyo huwekwa chumvi nyingi ili visiharibike haraka. Pia jiepushe na kuongeza chumvi kwenye sahani wakati wa kula.

MAFUTA YA SAMAKI

Baadhi ya utafiti unashauri wagonjwa wa vidonda vya tumbo wale mafuta yatokanayo na samaki (Omega-3 fats) ambayo yameonekana kutoa ahueni kwa wagonjwa. Na kwa mtu ambaye si mgonjwa atakuwa anajiwekea kinga dhidi ya vidonda vya tumbo na magonjwa mengine ya tumbo.

VITAMINI NA MADINI

Ulaji wa vyakula vyenye madini na vitamini kwa wingi husaidia sana kuleta ahueni kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo na kutoa kinga kwa wale ambao hawajaathirika. Wataalamu wa lishe wanashauri kupenda kula matunda na mboga za majani kama vile karoti, juisi ya kabeji, ndizi mbivu, na matunda mengine yenye vitamin C, halikadhalika maziwa ya mbuzi, jibini na cream za maziwa huleta ahueni.

STAILI YA MAISHA NA VIDONDA VYA

TUMBO

Licha ya kusabisha Saratani, uvutaji sigara pia huongeza hatari ya mtu kupatwa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo, hivyo ni sababu tosha ya kuacha uvutaji sigareti. Japo msongo wa mawazo unaweza kuwa vigumu kuuhusisha moja kwa moja na vidonda vya tumbo, lakini maisha ya wasiwasi, ukichangaya na ulaji mbovu, huweza kusababisha ugonjwa huu, hivyo kama unataka kujiepusha au kupunguza makali ya ugonjwa huu, ni muhimu kuzingatia ulaji sahihi na kuishi maisha ya furaha.

Unaweza kuelezea zaidi athari za matumizi ya Coffee kwa undani zaidi maana siku hizi nimetokea kupenda sana Coffee! Japo na hayo yote nashukuru sana kwa Msaada wako ambao kama hautanisqaidia leo utanisaidia kesho ! Naomba kama utaweza elezea matatizo ya kutumia Coffee!
 
vipi kuhusu tiba,ke wangu vinamsumbua kweli na vinatukosesha amani

Mwambie ajaribu hii kwanza na kuna ingine nimekutumia kwenye PM hebu angalia hiyo ni nzuri zaidi kuliko hii jaribu hii pia ( Chemsha kabeji kwa maji upate supu usiongeze kitu chochote, tumia bakuli moja au glass moja asubuhi, mchana na jioni kwa siku saba, matokeo yake utayaona.)

Unaweza kuelezea zaidi athari za matumizi ya Coffee kwa undani zaidi maana siku hizi nimetokea kupenda sana Coffee! Japo na hayo yote nashukuru sana kwa Msaada wako ambao kama hautanisqaidia leo utanisaidia kesho ! Naomba kama utaweza elezea matatizo ya kutumia Coffee!

Kuhusu Madhara ya kahawa yapo ikiwa utatumia kwa wingi kahawa nina maanisha ukiwa utatumia zaidi ya mara moja kwa siku unaweza kupata ugonjwa wa mapigo ya moyo kwa

lugha ya kitaalamu wanuita ugonjwa wa ( high blood pressure) na pia kahawa ukinywa sana inakufanya unakosa usingizi pendelea kunywa kwa siku japo mara moja mimi pia ni mteja wa kahawa lakini nakunywa kahawa ya huku

Ughaibuni inayoitwa kwa jina (NesCafe) lakini kahawa ni kahawa ingawa ya kwetu Bongo kahawa ni nzito nakushauri unywe kwa siku japo mara moja sio tena uwe unakunywa kila wakati itakuletea madhara. Jambo lingine ikiwa wewe ni Mwanamme unaye Mke ukitaka

kufanya tendo la ndowa (Ngono) unakuwa unawahi kumaliza kabla ya Mke wako jaribu kunywa kikombe kimoja cha kahawa kabla ya nusu ya kufanya tendo la ndowa (Ngono) itakusaidia

kutomaliza haraka katika kufanya tendo la ngono. Utakuwa unamridhisha Mke wako kwenye hilo tendo la ngono. huo ndio ushauri wangu.
 
vipi kuhusu tiba,ke wangu vinamsumbua kweli na vinatukosesha amani

Nafikiri ungeendelea kutupa Tiba
Dawa ya vidonda vya tumbo Mfahamishe huyo shemeji yangu mke wako anayeumwa na Vidonda vya Tumbo atumie Dawa ya Hii ya Kienyeji Akiamka Asubuhi kabla ya kula kitu

akojowe mkojo wake mwenyewe kwa kipimo cha Glasi moja awe anakunywa mkojo wake kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha Aende kupima hivyo

Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa Mwambie ajaribu kutumia hiyo Dawa itamsaidia Sana. Hi Dawa imewasaidia wengi na hayo matatizo ya huo Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo akitumia hii Dawa yatatoweka kabisa. Hakuna Dawa ya hospitalini inayoweza kutibu Vidonda vya tumbo (Ulser)
 
mbona mkuu uko Vs your ID? Mzizi tena mkavu anashauri unywe mkojo!.! Mkuu natania tu ila naona ugumu wa kutumia iyo dawa,japo naumwa. Ngoja nisake ujasiri wa kutumia.
 
Nasikia wakiwa mp madada zetu
mkojo huwa mchungu kama wa punda sa ataweza kweli kutumia hii dawa hebu tujuze zaidi mkuu.
 
Dawa ya vidonda vya tumbo Mfahamishe huyo shemeji yangu mke wako anayeumwa na Vidonda vya Tumbo atumie Dawa ya Hii ya Kienyeji Akiamka Asubuhi kabla ya kula kitu

akojowe mkojo wake mwenyewe kwa kipimo cha Glasi moja awe anakunywa mkojo wake kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha Aende kupima hivyo

Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa Mwambie ajaribu kutumia hiyo Dawa itamsaidia Sana. Hi Dawa imewasaidia wengi na hayo matatizo ya huo Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo akitumia hii Dawa yatatoweka kabisa. Hakuna Dawa ya hospitalini inayoweza kutibu Vidonda vya tumbo (Ulser)

mkuu naheshimu ushauri na michango yako pls ebu nifafanulie unaposema akuna dawa ya hosp inayotibu vidonda vya tumbo cjakuelewa mkuu
 
Dawa ya vidonda vya tumbo Mfahamishe huyo shemeji yangu mke wako anayeumwa na Vidonda vya Tumbo atumie Dawa ya Hii ya Kienyeji Akiamka Asubuhi kabla ya kula kitu

akojowe mkojo wake mwenyewe kwa kipimo cha Glasi moja awe anakunywa mkojo wake kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha Aende kupima hivyo

Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa Mwambie ajaribu kutumia hiyo Dawa itamsaidia Sana. Hi Dawa imewasaidia wengi na hayo matatizo ya huo Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo akitumia hii Dawa yatatoweka kabisa. Hakuna Dawa ya hospitalini inayoweza kutibu Vidonda vya tumbo (Ulser)
angalizo! huo mkoja usiwe na vimelea vya STD maana utakuwa utakuwa unaruka maji unakaga kinyesi cha binadamu lol!
 
angalizo! huo mkoja usiwe na vimelea vya STD maana utakuwa utakuwa unaruka maji unakaga kinyesi cha binadamu lol!
Mkojo wako mwenyewe sio wa Mtu Mwengine jaribu Mkuu kunielewa vizuri . mkojo wako mwenyewe hauna dhara unakutibu wewe mwenyewe sio mkojo wa Mtu Mwengine

Sample of urine. Soma hapa Faida za mkojo wako kutibu kila Maradhi bonyeza hapa Urine Therapy: A cure for all diseases
 
Back
Top Bottom