Ugonjwa wa tonses

Ugonjwa wa tonses

me mlokole

Member
Joined
Jul 17, 2015
Posts
27
Reaction score
11
Habarini humu,

Nilifanyiwa operesheni ya kutoa tonses toka mwezi wa tatu 2017. Hadi leo sina test ya chochote. Nisaidieni nitakuwa vizuri baada ya muda gani? Sina namba ya doctor wangu na yuko mbali.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
ulimaanisha huna taste?

na mimi hilo tatizo linanisumbua sana nkimeza chakula.
operation huwa inafanywaje?
ma gharama zake?
 
Back
Top Bottom