Ugonjwa wa malaria sasa wapata chanjo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ugonjwa wa malaria sasa wapata chanjo

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nzowa Godat, Oct 20, 2011.

 1. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Send to a friend
  Wednesday, 19 October 2011
  20:58
  0
  digg
  Boniface Meena
  WANASAYANSI nchini wako
  katika hatua za mwisho
  kukamilisha kinga ya ugonjwa
  wa malaria baada ya utafiti
  kuonyesha kuwa chanjo mpya
  iitwayo RTS,S ambayo
  inaweza kukinga ugonjwa huo
  kwa asilimia 50.
  Hayo yalielezwa Dar es Salaam
  jana na Mkurugenzi Mkuu wa
  Taasisi ya Afya Ifakara, Dk
  Salim Abdulla alipokuwa
  akizungumza katika warsha
  kuhusu matokeo ya utafiti wa
  chanjo hiyo.
   
 2. M

  Mwera JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inamaa hata malaria sugu itakosekana hapa jf?
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli Mungu atusaidie tupunguze idadi ya watu wanao kufa kwa malaria, hasa watoto wachanga na wanawake wajawazito.
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa TZ yetu ilivyo watawazingua kuiweka sokoni ili miradi yao ya dawa isife
   
 5. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Chanjo haijapatikana bwana....Watafiti wako njiani kupata chanjo ambayo inaweza kuingia sokoni 2015!

  Soma zaidi hapa

   
Loading...