28/03/2015
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 366
- 335
kunywa chai iliyokolea sana majani-chai mengi mpaka inakuwa na uchungu uchungu. Au koroga unga wa ngano katika maji baridi kisha unywe.
ahsante mkuu
kunywa chai iliyokolea sana majani-chai mengi mpaka inakuwa na uchungu uchungu. Au koroga unga wa ngano katika maji baridi kisha unywe.
bila shaka hiyo ni dysentry, unaweza kutumia metronidazole 400mg tds 5/7
Ndugu yangu tuishapewa referrel ya bugando na tume attendiwa na madakitari bingwa lakini bado tatizo ni lile jibu ni lile lile kuwa kama tatizo linajirudia mrudishe na siku zote tuanatumia gharama ndo maana naona bora tukatumia hizi za kiasili.Ulimpeleka mzee hospital gani isije ikawa umeenda dispensary ukasema hospitali wameshindwa kwa ushauri wangu mpeleke referral hospitals akaonwe na physician's hapo kuna vipimo kibao anatakiwa afanyiwe
Nitafute mimi nipate kumtibia apate kupona unaweza kunitafuta kwa kubonyeza hapa.MawasilianoJamani nani labda anajua tiba ya asili ya huu ugonjwa wa kuharisha maji mara kwa mara maana nina baba yangu ana miaka zaidi ya 80 ameanza sumbuliwa na ugonjwa tangu semptember 2015 mpaka leo tumeenda hospital nyingi lakini hamna manufaa yoyote,na mara ya mwisho dr akatwambia kuwa haona tatizo ni nini mpaka akasema tumpatie chakula kingi kwa siku ili labda kama ni uchafu upo ndani aweze kuutoa kwa njia ya kuharisha, lkn bado ni yale yale,
Sasa mie naona kama hospital wameshindwa labda kama kuna mwenye ufahamu wa huu ugojwa kwa dawa za asili na wapi ntazipata, anaweza nisaidia,
Nimeshatumia dawa za aina nyingi lakini kuna kuhara kunapoambatana na tumbo kujaa gesi na wakati mwingine ukipata dawa sahii likapona kwa muda choo nacho kinakuwa kigumu sana na kupelekea maumivu....ahsante
Kumbuka dalili za mtoto kutapika na kuharisha ni sababishi aina ya wadudu Salmonela tyhphi and salmonella paratyphi, wadudu hawa hutokana na kutumia/kula vitu ambavyo vipo maeneo ya baridi/Au vyenye baridi na kuruhusu wadudu waendelee kuishi kwenye chakula, ingekuwa chakula ni cha moto, maji kuchemshwa, na kuweka mazingira safi huta sumbuka na Na hawa wadudu aina ya salmonela typhi and paratyphi (husababisha ugonjwa wa Typhod,Msaada naomba mnijurishe dawa gani asili yaweza kusaidia mtu anaeharisha na kutapika au huduma ya kwanza jamani
mkuu umepotosha, si kweli......Kumbuka dalili za mtoto kutapika na kuharisha ni sababishi aina ya wadudu Salmonela tyhphi and salmonella paratyphi, wadudu hawa hutokana na kutumia/kula vitu ambavyo vipo maeneo ya baridi/Au vyenye baridi na kuruhusu wadudu waendelee kuishi kwenye chakula, ingekuwa chakula ni cha moto, maji kuchemshwa, na kuweka mazingira safi huta sumbuka na Na hawa wadudu aina ya salmonela typhi and paratyphi (husababisha ugonjwa wa Typhod,
????????? rudi hospital mi mwenzio kila wiki napima mara minyoo mara blood picture mra typhoid kisa na mkasa sina aptait ya kula kabisa jana nimefanya blood full blood pic nikakutwa sina lolote so daktari kanipa vidonge 30 vya kuboost aptait leo nimeanza kidonge cha kwanza mpaka 30 days zikipita kama sijapona narudi tena mpaka nijue tatizo ni kitu ganni so rudi hospital huku jf unaweza kuambia una hivMsaada jaman nimeharisha mda mrefu nimetumia nimepima typhoid hamna...nimetumia metradazone bado
CHUKUA MDALASINI UNGA WAKE CHANGANYA VIJIKO 3 NA ROBO LITA ASALI KISHA UWE UNAPIGA KIJIKO KIMOJA KIMOJA,ASUBUHI NA JIONI,DIGESTION YAKO ITAKAA POA NA UTASIKIA APETITE YA KULA,VIDONGE VYA MWEZI NI VINGI SANA USIJE UKAWA CHRONIC HULI MPAKA UPIGE KIDONGE????????? rudi hospital mi mwenzio kila wiki napima mara minyoo mara blood picture mra typhoid kisa na mkasa sina aptait ya kula kabisa jana nimefanya blood full blood pic nikakutwa sina lolote so daktari kanipa vidonge 30 vya kuboost aptait leo nimeanza kidonge cha kwanza mpaka 30 days zikipita kama sijapona narudi tena mpaka nijue tatizo ni kitu ganni so rudi hospital huku jf unaweza kuambia una hiv
ooh asante sana ntafanya vyote dawa na mdalasini maana naona mpaka utumbo unauma kabisa kwa kuacha kula uhCHUKUA MDALASINI UNGA WAKE CHANGANYA VIJIKO 3 NA ROBO LITA ASALI KISHA UWE UNAPIGA KIJIKO KIMOJA KIMOJA,ASUBUHI NA JIONI,DIGESTION YAKO ITAKAA POA NA UTASIKIA APETITE YA KULA,VIDONGE VYA MWEZI NI VINGI SANA USIJE UKAWA CHRONIC HULI MPAKA UPIGE KIDONGE