Ugonjwa wa kuhara (Diarrhea): Tambua Chanzo chake na Matibabu

Bila shaka hiyo ni dysentry, unaweza kutumia Metronidazole 400mg tds 5/7
 
Jamani nani labda anajua tiba ya asili ya huu ugonjwa wa kuharisha maji mara kwa mara maana nina baba yangu ana miaka zaidi ya 80 ameanza sumbuliwa na ugonjwa tangu semptember 2015 mpaka leo tumeenda hospital nyingi lakini hamna manufaa yoyote,na mara ya mwisho dr akatwambia kuwa haona tatizo ni nini mpaka akasema tumpatie chakula kingi kwa siku ili labda kama ni uchafu upo ndani aweze kuutoa kwa njia ya kuharisha, lkn bado ni yale yale,
Sasa mie naona kama hospital wameshindwa labda kama kuna mwenye ufahamu wa huu ugojwa kwa dawa za asili na wapi ntazipata, anaweza nisaidia,
 
Ulimpeleka mzee hospital gani isije ikawa umeenda dispensary ukasema hospitali wameshindwa kwa ushauri wangu mpeleke referral hospitals akaonwe na physician's hapo kuna vipimo kibao anatakiwa afanyiwe
 
Ndugu yangu tuishapewa referrel ya bugando na tume attendiwa na madakitari bingwa lakini bado tatizo ni lile jibu ni lile lile kuwa kama tatizo linajirudia mrudishe na siku zote tuanatumia gharama ndo maana naona bora tukatumia hizi za kiasili.
 
Jamani nani labda anajua tiba ya asili ya huu ugonjwa wa kuharisha maji mara kwa mara maana nina baba yangu ana miaka zaidi ya 80 ameanza sumbuliwa na ugonjwa tangu semptember 2015 mpaka leo tumeenda hospital nyingi lakini hamna manufaa yoyote,na mara ya mwisho dr akatwambia kuwa haona tatizo ni nini mpaka akasema tumpatie chakula kingi kwa siku ili labda kama ni uchafu upo ndani aweze kuutoa kwa njia ya kuharisha, lkn bado ni yale yale,
Sasa mie naona kama hospital wameshindwa labda kama kuna mwenye ufahamu wa huu ugojwa kwa dawa za asili na wapi ntazipata, anaweza nisaidia,
Nitafute mimi nipate kumtibia apate kupona unaweza kunitafuta kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Msaada naomba mnijurishe dawa gani asili yaweza kusaidia mtu anaeharisha na kutapika au huduma ya kwanza jamani
 
Very simple tu... Alfajr/ Asubuh kabla hujala au kunywa chochote kile chukua garlic/kitunguu swaum kibich (viwe 5) then kula, hakikisha ni vikali.... Fanya ivo kwa mda wa cku 3 mpk 5 tu kila alfajir
 
Msaada naomba mnijurishe dawa gani asili yaweza kusaidia mtu anaeharisha na kutapika au huduma ya kwanza jamani
Kumbuka dalili za mtoto kutapika na kuharisha ni sababishi aina ya wadudu Salmonela tyhphi and salmonella paratyphi, wadudu hawa hutokana na kutumia/kula vitu ambavyo vipo maeneo ya baridi/Au vyenye baridi na kuruhusu wadudu waendelee kuishi kwenye chakula, ingekuwa chakula ni cha moto, maji kuchemshwa, na kuweka mazingira safi huta sumbuka na Na hawa wadudu aina ya salmonela typhi and paratyphi (husababisha ugonjwa wa Typhod,
 
mkuu umepotosha, si kweli......
 
Msaada jaman nimeharisha mda mrefu nimetumia nimepima typhoid hamna...nimetumia metradazone bado
????????? rudi hospital mi mwenzio kila wiki napima mara minyoo mara blood picture mra typhoid kisa na mkasa sina aptait ya kula kabisa jana nimefanya blood full blood pic nikakutwa sina lolote so daktari kanipa vidonge 30 vya kuboost aptait leo nimeanza kidonge cha kwanza mpaka 30 days zikipita kama sijapona narudi tena mpaka nijue tatizo ni kitu ganni so rudi hospital huku jf unaweza kuambia una hiv
 
CHUKUA MDALASINI UNGA WAKE CHANGANYA VIJIKO 3 NA ROBO LITA ASALI KISHA UWE UNAPIGA KIJIKO KIMOJA KIMOJA,ASUBUHI NA JIONI,DIGESTION YAKO ITAKAA POA NA UTASIKIA APETITE YA KULA,VIDONGE VYA MWEZI NI VINGI SANA USIJE UKAWA CHRONIC HULI MPAKA UPIGE KIDONGE
 
ooh asante sana ntafanya vyote dawa na mdalasini maana naona mpaka utumbo unauma kabisa kwa kuacha kula uh
 
Back
Top Bottom