Ok. Wana umri gani kwa sasa? Na mama yao ana hali gani anaoensha kuumwa? Je mama yao ana utaratibu wa kuharibu mayai mengi, yani mayai vinza?Wanakufa
Ok. Wana umri gani kwa sasa? Na mama yao ana hali gani anaoensha kuumwa? Je mama yao ana utaratibu wa kuharibu mayai mengi, yani mayai vinza?Wanakufa
Wana siku kama 4/5 ivi,Ok. Wana umri gani kwa sasa? Na mama yao ana hali gani anaoensha kuumwa? Je mama yao ana utaratibu wa kuharibu mayai mengi, yani mayai vinza?
Ok. Sasa hapo tatizo lipo kwa mama ambae ndie mwenye ugonjwa ila kwakuwa hauna athari kubwa kwa kuku wakubwa ndomana yeye anaonekana mzima, na vifaranga vinapata maambukizi kupitia mayaiWana siku kama 4/5 ivi,
Mama mzima wa afya haumwi na kaangua watatu kati ya mayai7
Baada tu ya kutotolewa uliwaanzishia dawa ipi? Wanaonekana na dalali za ugonjwa huu anaoongelea hapa; ingawa wataalam humu wanasema kifaranga h!kiwezi kurithi ugonjwa toka yai kwa mzazi; wanadai kifaranga kitakuwa kimepata maambukizi hapo hapo bandani kwako.View attachment 681392 View attachment 681392 View attachment 681391 Mkuu songoros FUSO ivan don habari zenu!!
Msaada, ninae kuku huyo yeye akitotoa vitoto vinakua design hii
• manyoya hayana afya membamba
•sehem za chini kama yamenyonyoka hadi ngozi inaonekana
Kama uonavyo pichani. Shida inaweza kuwa ni nini? Maana ni mara ya pili anatoa ivyo
Nimejaribu kuwapa hii ya binadamu mkuu, amoxyln kama sijakosea.. kwajili yamafua sijawapa nyingine. Zaidi mama zao niliwapa chanjo ile inayowekwa kwa friji kwanzaBaada tu ya kutotolewa uliwaanzishia dawa ipi? Wanaonekana na dalali za ugonjwa huu anaoongelea hapa; ingawa wataalam humu wanasema kifaranga h!kiwezi kurithi ugonjwa toka yai kwa mzazi; wanadai kifaranga kitakuwa kimepata maambukizi hapo hapo bandani kwako.
Samahani mkuu mbona unaongea kama vile unapingana na tuliosema kuwa kifaranga hakiwezi kuzaliwa na ugonjwa? kama wewe unafahamu kuwa hilo jambo linawezekana tujuze tu mkuu ili tuwe updated maana hii ni science hatuwezi kubishana kama vile siasa endapo ushahidi upoBaada tu ya kutotolewa uliwaanzishia dawa ipi? Wanaonekana na dalali za ugonjwa huu anaoongelea hapa; ingawa wataalam humu wanasema kifaranga h!kiwezi kurithi ugonjwa toka yai kwa mzazi; wanadai kifaranga kitakuwa kimepata maambukizi hapo hapo bandani kwako.
sipingani na sayansi na tafiti ila mfugaji anapata mazingira yanayomfanya akose jibu sahihi; mfugaji kafuata taratibu zote za usafi; katumia kila kitu kinachotakiwa kwa kifaranga cha siku moja yet vinapukutika. Hapa ndipo mfugaji anahitaji kupata jibu sahihi vinginevyo anaweza kukata tamaa.Samahani mkuu mbona unaongea kama vile unapingana na tuliosema kuwa kifaranga hakiwezi kuzaliwa na ugonjwa? kama wewe unafahamu kuwa hilo jambo linawezekana tujuze tu mkuu ili tuwe updated maana hii ni science hatuwezi kubishana kama vile siasa endapo ushahidi upo
Nakupata mkuu, kuhusu kutoa jibu la uhakika jf sio rahisi ndugu yangu, kitu ambacho huyo mkulima anatakiwa kufanya ni kutoa kuku 1 kwa ajili ya wengine na bwana mifugo afanye uchunguzi hapo ndio jibu la uhakika litapatikana kuwa ni ugonjwa gani ambao unashambulia shamba lakesipingani na sayansi na tafiti ila mfugaji anapata mazingira yanayomfanya akose jibu sahihi; mfugaji kafuata taratibu zote za usafi; katumia kila kitu kinachotakiwa kwa kifaranga cha siku moja yet vinapukutika. Hapa ndipo mfugaji anahitaji kupata jibu sahihi vinginevyo anaweza kukata tamaa.
Ndiyo maana nikauliza kifaranga kinaweza kurithi parasites toka kwa kuku mzazi mwenye infection?
Jibu niliambiwa uwezekano ni mdogo sana na kama upo si kwa magonjwa hatarishi kama huu tunaoongelea hapa:
Sasa basi mfugaji apewe jibu sahihi kwa nini vifaranga 50 to 60% wapukutike ndani ya wiki mbili?