Ugonjwa mpya wa simu..UVOSI.

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
Ni UVOSI (UKOSEFU wa VOCHA SIMUNI).

Ugonjwa mbaya sana na dalili zake ni:
kudipu ovyo ovyo.
Tafazali nipigie.
Kusambaziwa vocha.
Kuangalia salio kila wakati mpaka dole gumba linamea sugu.
Kuzuia kitufe cha kukata simu hata ingawa wewe ndio unapigiwa.
MAUMIVU YAKIZIDI JIMUVUZISHE KWA MITANDAO NAFUU TAFAZAALI.
 
Ni nzuri lakini angalia sana neno hilo kwenye red -- KUBEEP
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom