Kigari chako sikipandi ng'ooo [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji102] [emoji124] [emoji100] [emoji140] [emoji108] [emoji126]
unashambulia zaidi ubongo
Kigari chako sikipandi ng'ooo [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji102] [emoji124] [emoji100] [emoji140] [emoji108] [emoji126]
nokia obamaTiba yake ni nini mkuu?
Tiba yake ni nini mkuu?
nokia obama
Aisaee kweli Ugonjwa huo !! Tena una MaGroupu mengi.... na mawazo yote yapo kwenye charger !!Kuna ugonjwa hatari umeingia kwenye ndoa, makazini na watu walio kwenye mahusiano. Unaitwa 'technociosis', huambukizwa na kirusi hatari aina ya 'smartvindrom9' Mara nyingi mgonjwa huonyesha dalili zifuatazo:
1. Hukosa hamu ya kuongea.
2. Hucheka peke yake.
3. Hujitenga na mwenza wake hasa wanapokuwa na kamzozo.
4. Hukosa hamasa ya kutekeleza majukumu yake ya kiofisi.
5. Hupoteza umakini awapo barabarani hasa kwenye foleni mpaka asituliwe kwa honi.
6. Huwa mbea kutaka kujua kila kitu na kujitia ujuaji kumbe ame Google.
Je wewe haka ka ugonjwa kamesha kupata?
Quick one; we kila comment huwa unakimbia. Hujawahi kufika unapokwenda?
Mimi na msukuma wangu hatujaugua bado
Aisaee kweli Ugonjwa huo !! Tena una MaGroupu mengi.... na mawazo yote yapo kwenye charger !!
Nakumbuka enzi zetu hizo BatteryPacks (b/Banks) zilikuwa zikisukumwa kwa mkokoteni....😛 na mwenye simu hufuata...Unakuta mtu mifuko imetuna mpaka anatembea kwa shida kumbe betri banks, kisa ataki kupitwa na matukio!
Nakumbuka enzi zetu hizo BatteryPacks (b/Banks) zilikuwa zikisukumwa kwa mkokoteni....😛 na mwenye simu hufuata...
hahahaUgonjwa huo anao ex wangu aisee