zhang laoshi
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 469
- 639
Hii ni sehemu gani ya mwili..?Habari Team
Hii ni wiki sasa, palianza kama uvimbe mdogo (kigololi) then pakawa panawasha sn.
Nilipataje?
Siku moja nilitoka shamba baada ya kumalizia shughuli za shamba gafla nikaanza kusikia huo muwasho mkononi na huo uvimbe kidogo, sasa sijui ni mdudu alinitambaa, panawasha sana
Msaada tafadhali View attachment 2669815
MkononiHii ni sehemu gani ya mwili..?
Dawa yake ni nnHairly Larva wamekutembelea.
Kuna dawa za kupaka za anti allergy cream. Pharmacy zinauzwa.Dawa yake ni nn
Inawasha zaidi usiku?Habari Team