Ugoni: Yalishawahi kukuta?....Soma hiki kisa

Kwa kawaida na desturi mafahali wawili hawakai zizi moja na hata iweje ni vigumu sana kwa mwanaume amfumanie mkewe halafu amsamehe. Pia dada walioko humu watakubaliana nami kuwa hata wao hawatakubaliana wake za kaka zao wawe na wanaume wengind nje ya ndoa maana hiyo huhatarisha maisha ya kaka zao. Kusamehe ni vigumu sana
 
Msiwalaumu wanawake kosa ni la mwanaume, kama unamtimizia mke wako vizuri hawezi kwenda nje.

Huyo rafiki yako anaweka biashara mbele kuliko mke ndo sababu, msisahau wake zenu wanahaki na nyinyi yani lazima muwe mnawashughulikia kwenye tendo la ndoa, msifikirie kuwalisha na kuwavisha tu :biggrin:
 
Tusiskilize upande mmoja may be huyuu jama alikua part of the problem. Watu wengi wanakua bizzy na mambo ya biashara hadi wanasahau majukum ya kifamilia. Ikumbukwe kwamba wanawake wengi kwasababu ya idleness nyumbani wanahitaji phycological compesation ambayo ni kushugulikiwa ipasavyo ili kiziba hiyo gap ambaye inakua ina miss kwahiyo mwanaume anapokua bizzy na kazi na kusahau jukum lake la msingi (Haki ya msingi ya kumpa mwanamke ndani ya ndoa) anavo enda nje hua anatafuta compesation ambaya anaikosa ndani ya nyumba

Acha ku halalisha dhambi mkuu!Kama aliona hapewi haki yake si angekuwa muwazi kwa mumewe bana.
 
Msiwalaumu wanawake kosa ni la mwanaume, kama unamtimizia mke wako vizuri hawezi kwenda nje.

Huyo rafiki yako anaweka biashara mbele kuliko mke ndo sababu, msisahau wake zenu wanahaki na nyinyi yani lazima muwe mnawashughulikia kwenye tendo la ndoa, msifikirie kuwalisha na kuwavisha tu :biggrin:

Kwa kizazi hiki kinavyoijua ngono kingekuwa ndio kinachoongoza kwa kudumisha ndoa...au unataka kusema mwanaume anaetoka nje nae ni kwa sababu haridhishwi ki-ngono
 
Ni mkasa wa kusikitisha ila kusma ukweli wanaume na wanawake wote hawaaminiki kwa sasa, uaminifu sio kwa wanawake peke yao hata wanaume, ni mada ndefu kuizungumza kwani ina mambo mengi ndani yake.
 
Nimemkumbuka huyu rafiki yangu wa zamani ........japo tulipoteana lakini hivi karibuni nimesikia anataka kuoa nafikiri amesha-recover and i wish him happy marriage........
 
Ni kweli kabisa wanawake Mungu katuumba tofauti sana tunajua kusamehe sana. Ni kosa kubwa kwa mwanamke kutoka nje ya ndoa lakini sio kwa mwanamme.

Hapo hakuna msamaha wa kweli. Ni unyonge tu huwalazimisha wanawake wajidai kuwa wamesamehe.
 
Umenena ukweli mtupu! Na ndicho kilichotufikisha hapa tulipo! Mwanamke analazimika kusamehe kwa sababu ya unyonge. Hana mapenzi na mumewe tena. Anajikuta anaanza ku-pay attention kwa wanaume wa nje, anaona kama wanamuheshimu kuliko mumewe na ananasa mtegoni! Mwisho akikamatwa mwanamke inakuwa kesi ya jamii nzima. Rafiki yangu mwanaume (asiyeisha kunitupia tupia nyavu ili abahatishe) siku moja alinitafuta akiwa kachanganyikiwa kabisa. Kisa ati kajua mkewe anamcheat. Nikamuuliza u also cheat on her?! Anasema I'm a man. Niliishia kumuambia pole.
Hapo hakuna msamaha wa kweli. Ni unyonge tu huwalazimisha wanawake wajidai kuwa wamesamehe.
 
huyu mtu ns hujaa anapaswa kupewa medali,binafsi nashindwa kujua aliepukaje kufanya mauaji siku hyo,ni mfano wa kuigwa ila kwa suala kuvunja ndoa si uamuz mwema sana na mgoni alimuhakikishia kuwa alikuwa maetumia kinga,otherwise he is very strong person!
 
Umenena ukweli mtupu! Na ndicho kilichotufikisha hapa tulipo! Mwanamke analazimika kusamehe kwa sababu ya unyonge. Hana mapenzi na mumewe tena. Anajikuta anaanza ku-pay attention kwa wanaume wa nje, anaona kama wanamuheshimu kuliko mumewe na ananasa mtegoni! Mwisho akikamatwa mwanamke inakuwa kesi ya jamii nzima. Rafiki yangu mwanaume (asiyeisha kunitupia tupia nyavu ili abahatishe) siku moja alinitafuta akiwa kachanganyikiwa kabisa. Kisa ati kajua mkewe anamcheat. Nikamuuliza u also cheat on her?! Anasema I'm a man. Niliishia kumuambia pole.

Na bado anatupa nyavu kwa matumaini?
 
huyu mtu ns hujaa anapaswa kupewa medali,binafsi nashindwa kujua aliepukaje kufanya mauaji siku hyo,ni mfano wa kuigwa ila kwa suala kuvunja ndoa si uamuz mwema sana na mgoni alimuhakikishia kuwa alikuwa maetumia kinga,otherwise he is very strong person!

Ila amwekisha recover.......hata yeye anashangaa aliwezaje kutoka bila kuua..only God knows
 
Back
Top Bottom