ugomvi wa mke na mume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ugomvi wa mke na mume

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mtanzanika, Jun 19, 2012.

 1. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,210
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Swaleh aligombana na mkewe,
  wakati wa kulala wakatengana.
  Mume akalala kwenye sakafu,mke akalala
  kitandani.Usiku Swaleh akawa anaipigapiga
  NYETI yake akisema "wee ebu
  tulia,huoni kama tumegombana?
  Mke akajibu "Sisi ndo tumegombana
  sio hao,mwache aje acheze na
  mwenzake lakini ugomvi wetu uko pale pale!"
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mchezo ukiisha na ugomvi kwisha!
   
 3. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,210
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  bila shaka!c wajua michezo huimarisha ama kujenga urafiki!
   
Loading...