Duuhh hivi wewe Wamarekani walikupa nini? Huoni hata makosa?Maoni mengi ya wabongo wengi mtandaoni kuhusu msaada wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani ni hofu yao isiyo na mashiko "obsession" au ugomvi na ushoga.
Wengi wanaupinga msaada huo eti kwa sababu unaweza kuwa na viambata vya kuwafanya wanafunzi watakaoula kugeuka kwa mashoga! Yani katika sababu zote hii ndio imetawala na imekuwa msingi wa upingaji wao wa mchele huo!
Jamii inayoweza kuwaza mambo kwa muono huo wa ngono tu katika jambo ambalo halihusiani kabisa hasa katika ulimwengu wa leo ni jamii ambayo imeharibika sana kiakili na inahitaji kupewa msaada wa kila kitu, sio wa mchele tu bali hata wa afya ya akili.
Ni ujuha watoto wasipiwe mchele wa virutubisho kwa "obsession" na conspiracy ushoga tu. Kama hao mabeberu wanaweza kufanya hivyo katika mchele wanashindwa vipi kufanya katika mafuta ya kula, ngano, tambi, apples, vipodozi, chanjo na dawa kutoka nchi zao au makampuni yao??
Wewe huoni unavyowaza kusaidiwa kama mlemavu wakati una rasilimali zote. Ni lini serikali imetangaza tuna njaa? Wewe ukiwa una gunia kumi za Mchele ndani jirani akikupa kilo 1 utapokea? Acheni njaa jamaniMaoni mengi ya wabongo wengi mtandaoni kuhusu msaada wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani ni hofu yao isiyo na mashiko "obsession" au ugomvi na ushoga.
Wengi wanaupinga msaada huo eti kwa sababu unaweza kuwa na viambata vya kuwafanya wanafunzi watakaoula kugeuka kwa mashoga! Yani katika sababu zote hii ndio imetawala na imekuwa msingi wa upingaji wao wa mchele huo!
Jamii inayoweza kuwaza mambo kwa muono huo wa ngono tu katika jambo ambalo halihusiani kabisa hasa katika ulimwengu wa leo ni jamii ambayo imeharibika sana kiakili na inahitaji kupewa msaada wa kila kitu, sio wa mchele tu bali hata wa afya ya akili.
Ni ujuha watoto wasipiwe mchele wa virutubisho kwa "obsession" na conspiracy ushoga tu. Kama hao mabeberu wanaweza kufanya hivyo katika mchele wanashindwa vipi kufanya katika mafuta ya kula, ngano, tambi, apples, vipodozi, chanjo na dawa kutoka nchi zao au makampuni yao??
Mtu kukupa zawadi mpaka uwe na upungufu?Kwani tuna upungufu wa chakula?
Kwani hawa wamarekani wamekurupuka tu na kutoa msaada bila ya makubaliano na serikali yetu?Wewe huoni unavyowaza kusaidiwa kama mlemavu wakati una rasilimali zote. Ni lini serikali imetangaza tuna njaa? Wewe ukiwa una gunia kumi zs Mchele ndani jirani akikupa kilo 1 utapokea? Acheni njaa jamani
Naomba tuonyeshe makosa hayo.Duuhh hivi wewe Wamarekani walikupa nini? Huoni hata makosa?
Hiyo sio zawadi, tatizo humu wengi hatujui operation za grants na loans, mkuu hiyo hela inalipwa na nchi baadae, Tunachezewa vya kutoshaMtu kukupa zawadi mpaka uwe na upungufu?
Moshi Ushoga umeshika kasi bwasheeDuuhh hivi wewe Wamarekani walikupa nini? Huoni hata makosa?
Mpaka hizo process zinafanyika mamlaka zilikuwa wapi? huu mchezo msomali anahusika moja kwa moja, kwamba NGO iliamka asubuhi ikaingiza mchele na ulipitia wapi bila serikali kujua?Hiyo sio zawadi, tatizo humu wengi hatujui operation za grants na loans, mkuu hiyo hela inalipwa na nchi baadae, Tunachezewa vya kutosha
Mashoga wangapi wamekamatwa Moshi? acha uzwazwa, ushoga upo PwaniMoshi Ushoga umeshika kasi bwashee
Vipi hapo kwenu wanging'ombe bwashee?Moshi Ushoga umeshika kasi bwashee