Kwi kwi kwi teh teh teh.We mama unakoelekea siku izi, Mungu akusaidie tu mana sio yule niliyemfahamu kipindi kile. Naisi kama wamekufanyia Cloning,
Umeona post namba moja? Ina mistari ya biblia. Hiyo yako umejitungia.Eti linguruwe lilikula mkono wa Mtume na kuanzia hapo waamini wooooote wakakoma kula pigs!!
Hizi dini hizi zinazalisha vichaa wasiojitambua ila wao wanaona wako sawa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kusoma Biblia , utakuja ijua kweli.Kwi kwi kwi teh teh teh.
Nimeanza alfajiri, nimesoma Qur'an, nimeswali, nikachekewa kahawa nikachukua biblia, kufunguwa nikakuta a na hiyo joke,nikachekewa sana na kufurahi nikisema niishare furaha yangu na wezangu wa JF.
Naona wenzangu kabla ya kukisoma hicho kisa na nyinyi mfurahi mnaanza kuleta majanga!
Kwi kwi kwi teh teh teh.
Nimeanza alfajiri, nimesoma Qur'an, nimeswali, nikachemsha kahawa nikachukua biblia, kufunguwa nikakutana na hiyo joke, nikacheka sana na kufurahi nikisema niishare furaha yangu na wezangu wa JF. Kumbe ni majanga!
Mungu siyo jina. Kamuulize Mwalimu wako akueleweshe vizuri.
Oooohh!!!
Sawa hata faizafoxy sio jina
Ni kimtu tu, kikosa kazi kimekalia ujinga, badara ya kufanya kazi kinakaa kushabikia miarabu na lugha za kiwizi wizi,
Leteni kitabu chenu cha lugha kama English au kiswahili muone mtakavo umbuka.
By the way, ni jokes tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Biblia kitabu chako?
Hivi siku hizi kuna kutafuta kitabu? Unaonesha baada ya kufundishwa kuingia JF huna ulijualo kwenye mtandao. Pole sana, waambie wakufundishe na kusoma vitabu kupitia simu yako.
Wewe kweli punguani.
Af wewe Faiza wewe! ni Biblia siyo biblia. any way labda wewe umesoma biblia toleo la kisasa. ambalo wengi humu ndani sidhani kama wanaijua.Hakuna tafsiri hapo nimeweka na mistari ya biblia. Tafsiri wewe.
Duh! Kumbe kuna matoleo ya kisiasa na kizamani kwenye biblia? Na yote hayo ni ufunuo?!Af wewe Faiza wewe! ni Biblia siyo biblia. any way labda wewe umesoma biblia toleo la kisasa. ambalo wengi humu ndani sidhani kama wanaijua.
TENA MAJANGA MAKUBBBBBWA INAMAANA MUNGU KASHIKWA MVUNGU ,MSIBA HUUUKisa cha mungu kupigana na mtu siyo nmajanga?
Mungu siyo ''sio'' ni ''siyo''Mungu sio mungu
Hii habari nilipoisoma binafsi nikicheka sana, ni ya ukweli kabisa...
Jamaa kapigana na "mungu" na akamshinda, kama hiyo haitoshi kuwa janga. Jamaa kamshinda "mungu" kwa kupitisha mkono na "kumgusa" kwenye "uvungu" wa paja la "mungu". Jaza mwenyewe huo uvungu wa paja ni wapi?
Mwanzo 32:
24 Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
25 Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye.
26 Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki.
27 Akamwuliza, Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo.
28 Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.