Ugomvi mwingine ni majanga!

Ila wanasema Jacob alipigana na Malaika

25.Yeye alipoona kwamba hakuwa amemshinda,+ akagusa tundu la fundo la paja lake; nalo tundu la fundo la paja la Yakobo likateguka wakati wa kupigana naye mweleka.

28 Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.
29 Yakobo akamwuliza, akasema, Niambie, tafadhali, jina lako? Akasema, Kwa nini waniuliza jina langu? Akambariki huko.
30 Yakobo akapaita mahali pale, Penueli, maana alisema, Nimeonana na Mungu uso kwa uso, na nafsi yangu imeokoka.
 
Swahili Bible wametafsiri kutoka English Bible, kama maandiko yanakua na mashaka kwa kiswahili ni vema kuangalia English version or Hebrew version kwa Agano la kale.
Genesis 32:25
25 When the man saw that he could not overpower him, he touched the socket of Jacob’s hip so that his hip was wrenched as he wrestled with the man.
 
Maandiko yanasema mtu akimuona Mungu hawezi kuishi.

Kutoka 33:20
20
Lakini akasema: “Huwezi kuuona uso wangu, kwa sababu hakuna mwanadamu anayeweza kuniona na aendelee kuishi.”
 
Swahili Bible wametafsiri kutoka English Bible, kama maandiko yanakua na mashaka kwa kiswahili ni vema kuangalia English version or Hebrew version kwa Agano la kale.
Genesis 32:25
25 When the man saw that he could not overpower him, he touched the socket of Jacob’s hip so that his hip was wrenched as he wrestled with the man.
English walitafsiri kutoka wapi?

Ahsante kwa kunijuza kuwa tafsiri ya Kiswahili siyo ya kuaminika, sasa wale waeiojuwa English!? Majanga.
 
Tafsiri ya kiswahili inaaminika ila unakuta kuna utata kama misamiati inapoleta maana zaidi ya moja. Agano la kale liliandikwa kwa Lugha ya kiebrania na sehemu kubwa ya Agano jipya imeandikwa Kigiriki.
Ahaaaa. Kwa hiyo ni tafsiri ya tafsiri ya tafsiri ya tafsiri?! Majanga.
 
Nyie huwa hamuachi kusoma Bible na ndo nguvu ya kitabu hicho inapojidhihirisha dhidi ya vitabu vingine!
Usome kwa kutaka kukosoa ama kuelewa lakini umesoma tu na umekiweka akilin mwako!
Huwezi kukuta mkristo anajielewa anahangaika na kitabu cha dini nyingine iwe kutafuta makosa au kujua kilichomo mradi tu hakina maana yeyote kwake! Soma tu ipo siku utaondolewa upofu ulonao na chuki isiyokusaidia lolote maishan mwako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naisoma sana biblia. Nakumbana humo na vichekesho, matusi, visa na mikasa na vingi visivyoingia akilini na vichache sana vyenye maana.

Jamaa alishika uvungu upi?
 
Ni kama walikua wanamieleka so akmshika nyuma ya paja na kufanya aanguke chini na kuvunjika nyonga sababu alikua anaelekea kumshinda.

Najua ulitaka kusema kamshika sehemu ya haja au makalio..hiyo ndo point yako.na inashangaza kutwa anahangaika kusoma biblia ili tu upate cha kudhihaki kuhusu ukristo..una kazi sana..ukristo ulishindwa kuvunjwa na wanazi uvunjwe na we kigagula.

Ulidhani tutakuja kutukana hapa tuanze malumbano wala..imekula kwako
Utu uzima bila busara ni bure kabisa
MTU asubuhi na mapema hiki ndo unachowaza..dhihaka ugomvi dhidi ya jirani zako..ndio matokeo mnageuka magaidi

Sasa wewe huoni majanga hapo?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom