Ugomvi mwingine ni majanga!

FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
64,358
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
64,358 2,000
We mama unakoelekea siku izi, Mungu akusaidie tu mana sio yule niliyemfahamu kipindi kile. Naisi kama wamekufanyia Cloning,
Kwi kwi kwi teh teh teh.

Nimeanza alfajiri, nimesoma Qur'an, nimeswali, nikachemsha kahawa nikachukua biblia, kufunguwa nikakutana na hiyo joke, nikacheka sana na kufurahi nikisema niishare furaha yangu na wezangu wa JF. Kumbe ni majanga!

Mwalimu wa imla hakukufinya kuandika jina kwa kuanza na herufi ndogo ety?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu siyo jina. Kamuulize Mwalimu wako akueleweshe vizuri.
 
Jumong S

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Messages
5,144
Points
2,000
Jumong S

Jumong S

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2013
5,144 2,000
Eti linguruwe lilikula mkono wa Mtume na kuanzia hapo waamini wooooote wakakoma kula pigs!!

Hizi dini hizi zinazalisha vichaa wasiojitambua ila wao wanaona wako sawa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
64,358
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
64,358 2,000
We mama unakoelekea siku izi, Mungu akusaidie tu mana sio yule niliyemfahamu kipindi kile. Naisi kama wamekufanyia Cloning,
Kwi kwi kwi teh teh teh.

Nimeanza alfajiri, nimesoma Qur'an, nimeswali, nikachekewa kahawa nikachukua biblia, kufunguwa nikakuta a na hiyo joke,nikachekewa sana na kufurahi nikisema niishare furaha yangu na wezangu wa JF.

Naona wenzangu kabla ya kukisoma hicho kisa na nyinyi mfurahi mnaanza kuleta majanga!
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
64,358
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
64,358 2,000
Eti linguruwe lilikula mkono wa Mtume na kuanzia hapo waamini wooooote wakakoma kula pigs!!

Hizi dini hizi zinazalisha vichaa wasiojitambua ila wao wanaona wako sawa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona post namba moja? Ina mistari ya biblia. Hiyo yako umejitungia.

Unajuwa nani wameitwa nguruwe na mbwa kwenye biblia?
 
2introvert

2introvert

Member
Joined
May 25, 2017
Messages
89
Points
150
2introvert

2introvert

Member
Joined May 25, 2017
89 150
Kwi kwi kwi teh teh teh.

Nimeanza alfajiri, nimesoma Qur'an, nimeswali, nikachekewa kahawa nikachukua biblia, kufunguwa nikakuta a na hiyo joke,nikachekewa sana na kufurahi nikisema niishare furaha yangu na wezangu wa JF.

Naona wenzangu kabla ya kukisoma hicho kisa na nyinyi mfurahi mnaanza kuleta majanga!
Hongera kwa kusoma Biblia , utakuja ijua kweli.
 
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Messages
2,602
Points
2,000
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2015
2,602 2,000
Oooohh!!!
Sawa hata faizafoxy sio jina
Ni kimtu tu, kikosa kazi kimekalia ujinga, badara ya kufanya kazi kinakaa kushabikia miarabu na lugha za kiwizi wizi,

Leteni kitabu chenu cha lugha kama English au kiswahili muone mtakavo umbuka.

By the way, ni jokes tu
Kwi kwi kwi teh teh teh.

Nimeanza alfajiri, nimesoma Qur'an, nimeswali, nikachemsha kahawa nikachukua biblia, kufunguwa nikakutana na hiyo joke, nikacheka sana na kufurahi nikisema niishare furaha yangu na wezangu wa JF. Kumbe ni majanga!

Mungu siyo jina. Kamuulize Mwalimu wako akueleweshe vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
64,358
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
64,358 2,000
Oooohh!!!
Sawa hata faizafoxy sio jina
Ni kimtu tu, kikosa kazi kimekalia ujinga, badara ya kufanya kazi kinakaa kushabikia miarabu na lugha za kiwizi wizi,

Leteni kitabu chenu cha lugha kama English au kiswahili muone mtakavo umbuka.

By the way, ni jokes tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Biblia kitabu chako?

Hivi siku hizi kuna kutafuta kitabu? Unaonesha baada ya kufundishwa kuingia JF huna ulijualo kwenye mtandao. Pole sana, waambie wakufundishe na kusoma vitabu kupitia simu yako.

Wewe kweli punguani.
 
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Messages
2,602
Points
2,000
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2015
2,602 2,000
Nimesema ni jokes tu, sio serious
Biblia kitabu chako?

Hivi siku hizi kuna kutafuta kitabu? Unaonesha baada ya kufundishwa kuingia JF huna ulijualo kwenye mtandao. Pole sana, waambie wakufundishe na kusoma vitabu kupitia simu yako.

Wewe kweli punguani.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
sajumo

sajumo

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2013
Messages
1,800
Points
2,000
sajumo

sajumo

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2013
1,800 2,000
Duh mungu kadundwa
Hatar faiza hii ishu ni kweli imeandikwa na bible
Hii story ni uongo au huyu mungu ni wa uongo au kitabu kina uongo au wajuvi watutafsirie maana naona kuna ngombe wanataka kushindana na ukweli
 
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2019
Messages
472
Points
500
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2019
472 500
Hakuna tafsiri hapo nimeweka na mistari ya biblia. Tafsiri wewe.
Af wewe Faiza wewe! ni Biblia siyo biblia. any way labda wewe umesoma biblia toleo la kisasa. ambalo wengi humu ndani sidhani kama wanaijua.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
64,358
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
64,358 2,000
Af wewe Faiza wewe! ni Biblia siyo biblia. any way labda wewe umesoma biblia toleo la kisasa. ambalo wengi humu ndani sidhani kama wanaijua.
Duh! Kumbe kuna matoleo ya kisiasa na kizamani kwenye biblia? Na yote hayo ni ufunuo?!

Wewe unasoma toleo lipi tukuwekee hiyo aya kutokana na toleo lako, liwe la zamani au la kisasa.

Umesoma vizuri lakini huo ugomvi? Jamaa huyo kiboko, anapigana na mungu!
 
Forum statistics

Threads 1,304,803
Members 501,517
Posts 31,527,585
Top