tumefatilia kwa karibu sakata la Ugiriki na ni dhairi itaondoka EU na hakuna jingine,jana kwenye meza ya majadiliano ikiongozwa na waziri wa fedha wa ugiriki na upande wa pili wakiongozwa na International Monetary Fund, the European Union and the European Central Bank hakuna makubaliano yaliyofikiwa tulichoona ni waziri wa fedha wa Ugiriki akiitwa arudi Ugiriki na serikali yake,
Ugiriki isipopewa fedha inazotaka haiwezi kuendelea kubaki EU kwa sababu wanatumia currency ya EU,Je kama Ugiriki itaondoka Eu nini madhara ya Muungano huu wa Ulaya?
Usiwaze madhara ya umoja wa ulaya kwanza.
Ugiriki itakuwa kwenye hali gani wasipopata hiyo fedha? Ni dhahiri uchumi utaanguka. Madhara yake hayapimiki.
Pia wanachama wa umoja wa ulaya hasa wale wenye chumi zinazosuasua wataanza kukaa kimachale baada ya kuona umoja wa ulaya hauna msaada kwao.
russia walishasema wako tayari kutoa pesa hizo......
Watatumia sarafu yao wenyewe walio kuwa wanaitumia kabla, na si kwa Ugiriki tu hata Italy kuna mjadala wa kutaka ziwezpo sarafu mbili ya Italy na hiyo ya euroBinafsi sio mtaalamu Wa masuala ya uchumi ila Nina swali kwa wenye upeo Wa economics! Je ugiriki ikijitoa EU itaacha kutumia sarafu ya euro na Nn aftermath yake?
Hawataki kuwa watumwa. The buck stops with the referendum. Kuna wajanja wengi kwenye huu ulimwengu, Waingereza walishashituka tangu zamani hawakujiingiza kwenye Euro maana yake ni wendawazimu si waliambiwa wakijiunga mambo yatakuwa mazuri? Imekula kwao .... .watch out EAC na mbinu za Manyang'au ambao wanatumiwa na makuwadi wao.