Ugimbi katika ubora wake

Ugimbi katika ubora wake

VAN HEIST

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
1,434
Reaction score
617
1416539761782.jpg
 
Mlevi akilewa hataki kuvaa viatu hivyo hizo yebo itakuwa rahisi tu kwao kuchomoa miguu kuliko kuanza kufungua kamba za viatu
 
Hahahaha sasa na hiyi long skirt teh teh ukipanda hiyo bike siutamwaga mchele kwa kuku wengi hahahah, wachawee na huo unywele kama mkorea wa kusini au wewe ndugu zake na jumong?
yes my dear, namuwahi dr ras simba mie hahaha,
 
Hahahaha sasa na hiyi long skirt teh teh ukipanda hiyo bike siutamwaga mchele kwa kuku wengi hahahah, wachawee na huo unywele kama mkorea wa kusini au wewe ndugu zake na jumong?

hahahha huku barabarani wote wanafumba macho eti, afu washazoea uniforms zetu eti. Me natokea kwa madiba jamani
 
kikwetu zaid. Tukilewa full kulishana midenda. Hahaha! Ujamaa kama azimio la Arusha
 
SORRY NTACHAFUA HALI YA HEWA ILA NDICHO NILICHOKIWAZA...

Hapo utakuta mwingine anavuta mdomoni kisha anarudishia tena ktk mrija...Watu wanakunywa tuu...halafu sipati picha akiwa katika kikohozi cha kubanja...duuhh





Eeeeh kumbe hiyo ni mirija asilia, kwa raha zao
 
SORRY NTACHAFUA HALI YA HEWA ILA NDICHO NILICHOKIWAZA...

Hapo utakuta mwingine anavuta mdomoni kisha anarudishia tena ktk mrija...Watu wanakunywa tuu...halafu sipati picha akiwa katika kikohozi cha kubanja...duuhh

-`yereuwiiiiii sitaki hata kuwaza hivyo mweee
 
Back
Top Bottom