Ugiligili

Hapana; PM yangu nimefunga. 😊
Kwanini usiweke hapa hapa "ugiligili" tuuone.
Umetisha mkuu kwa ukauzu, kweli umeamua kuukaushia ugiligili wa win maana issue isingekomea kuiona tu ugiligili mngeenda hatua nyingine mbele.

Kweli utekaji umetuharibia Sana nchi duh, naona unaacha mali ya Bure kabisa kwa kuhofia huenda unataka kuingizwa mkenge watu wakupolepole
 
Hahaha😂
 

Kunguru muoga huishi miaka mingi mkuu. 😊
 
looh 😄😄😄 jamaa kanikazia kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…