Ugiligili

Kanusho la Archimedes linasema kwamba kitu kikizama chote au nusu kwenye ugiligiliπŸ˜‚ , kinasukumwa juu na kani mnyenyuo ambayo ni sawa na uzito wa ugiligili uliomwagika au kuondolewa na kitu hicho
Dah! Wewe jamaa 🀣🀣🀣
Archimedes principle Kwa kiswahili " kama kitu kikizama chote au nusu kwenye ugiligili kinapata kani mnyenyuo ambao ni sawa na uzito wa ugiligili uliomwagika"
 
Kanusho la Archimedes linasema kwamba kitu kikizama chote au nusu kwenye ugiligiliπŸ˜‚ , kinasukumwa juu na kani mnyenyuo ambayo ni sawa na uzito wa ugiligili uliomwagika au kuondolewa na kitu hicho
🀣🀣 Mzee mwenzangu hiyo ni lugha Tu. kani mnyenyuo=kani inayosukuma juu (upward force aka upthrust)
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…