Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,534
- 146,134
bila shaka itakuwa kaskazini ya US...
huko ndio wanakuwa na snow storms...
Ujanja wako wote huo kumbe wewe ni kunguru muoga hahahahahah Money Stunna
Hata Midwest huko nako zipo kwa sana tu.
Minus ngapi?
Kumbe afadhali mii ninaye mtoto samahani sana una haki usijaribu kabisa.Mkuu Money Stunna Usichezee mito si unajuwa mito nayo mikubwa kama bahari mfano wake?Sio uoga sina ata mtoto wa kusingiziwa nikizama nikizama najua familia itagawa vitu vyote
Unatisha wewe siku ikitokea Dar barafu basi mji mzima huo utafurika watu kila upande sio rahisi Dar ikinyesha Mvua hapatoshi itakuwa kunyesha mvua ya barafu? Mkuu KikulachoChako acha kusema maneno ya uongo.Hata hapa Dar hali si shwari Jangwani yote imejaa barafu...watu wanatembea juu ya mto msimbazi kwani nao wote umeganda...bara bara ya ali hasani mwinyi na ya morogoro na mandela zimefungwa kwa muda ili kupisha magreda kusafisha barafu...zilizoziba bara bara....
Huko Kinondoni na Sinza shughuli za kijamii zimesimama tangu jana kutokana kutanda kwa barafu kila kona....sijui huko kimara , mbagala na tegeta hali ikoje.....
Hahahaha roho tamu binamu ati
Mkuu pole sana ila kuwa makini na ile inayong'aa Kama kioo inakuwa imeganda it's super slippery unaweza kuanguka vibaya. It reminds me of Russia those days. Hapa bongo joto balaa
Mkuu pole sana ila kuwa makini na ile inayong'aa Kama kioo inakuwa imeganda it's super slippery unaweza kuanguka vibaya. It reminds me of Russia those days. Hapa bongo joto balaa
Tumezoea baridi na Barafu huko kwenu nnjombe ,iringa ,Makambako na Moshi na Arusha hakuna baridi huko.Mkuu Troojan Hapa nilipo nimevaa nguo zinafika hata nguo sita fulana 2 nzito suweta 2 na nguo zingine Suruali,na Traksuti ya ndani. Na huku nikiota joto.aiseee mm baridi la iringa mafinga makambako ,njombe na mbeya lilinikimbiza sasa ilo la uko aiseee naweza kua nazimia kila siku na mwishowe kufa kabisa.mnaishije aiseee.!?