Ume andika kidharau sanaHayo akawaambie watakaompa ajira lakini sharti la Kwanza ni ilo.
Inapotangazwa nafasi za kazi na kuweka sifa basi ni bora kuzingatia sifa husika.Huku kwetu sisi tunaamini ubora wa mtu huko kwenye makaratasi nafikiri hata wewe unaliju ilo.Kama anaona ana content lakini vyeti vilichafuka anaweza kuja kwenye interview na kutushawishi kuwa yeye Ni mwamba.Ume andika kidharau sana