Sijui upo nchi gani, lakini nchi nyingi ukiondoa Tz sio hairuhusiwi kuendesha gari ukiwa umelewa, hilo ni moja na iwapo huyo mgeni alikuja na gari lake hapo kwenu.Hivi jamani naombeni msaada kwenye hili swala au isije kuwa ninafikiria kimakosa! tuseme your husband has invited his friend home for lunch or dinner. Then baada ya maakuli na mivinyo kwa sana, anamlazimisha mwenzie alale home tena sebuleni kwenye safari bed maana chumba nikimoja cha kulala. Nimekaa nikachekecha sipati jibu maana huyo bwana angeweza kurudi home kwake na akapumzike. Nikiiuliza naambiwa ndo ulaya hii! Je huu niungwana wana JF?
Sijui upo nchi gani, lakini nchi nyingi ukiondoa Tz sio hairuhusiwi kuendesha gari ukiwa umelewa, hilo ni moja na iwapo huyo mgeni alikuja na gari lake hapo kwenu.
Pili labda jamaa alikuwa amelewa sana kiasi kwamba mume wako akaona sio vema akiondoka hata kwa taxi ama public bus.
Tatu inawezekana mgeni wenu alikuwa hana hata nauli ya taxi na muda wa public bus umeshapita na anakaa mbali, hivyo wazo la kulala likawa ni bora kabisa....
Anyway sio ajabu mgeni kulala ukumbini, sioni tatizo hapo, au wewe ulipenda mlale nae huko chumbani?
Mwisho huu ni uungwana kabisa..."Mambombotela"
akimleta siku nyengine ukiona dalili za kumkaribisha tena kulala .. unavaa kanga moja na mapemaaaa ... ujipitishe mara mbili tatu mbele yao .. si unajua tena mtoto wa kike .. mumeo will think otherwise .. usijisumbue kugombana nae .. actions speak louder than words
Wewe nawe umetokea wapi dini gani hiyo.Maxxxxxxxx Shimba njoo....!!!ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ahaaaaaaaa eeeeeeeeehh! naima dada wee kiboko! Duh, wengine dini imetukaa sana kwa hiyo inakuwa ngumu jamani.
akimleta siku nyengine ukiona dalili za kumkaribisha tena kulala .. unavaa kanga moja na mapemaaaa ... ujipitishe mara mbili tatu mbele yao .. si unajua tena mtoto wa kike .. mumeo will think otherwise .. usijisumbue kugombana nae .. actions speak louder than words
Kunaweza kuwa kuna kitu kinaendelea kati ya mumeo na huyo rafiki yake baada ya wewe kulala,jaribu kuchunguza kwanza na kama wote wapo hapo itakua rahisi wewe kugundua tulia kwanza,kuna mambo ya ajabu dunia hii.
Kwa kweli hata mimi nilishaazanga kupata hizo hisia, nilifatilia kwa ukaribu ila kulikuwa hamna kitu. Then siku moja akajaga kumwambia demu mmoja anayedai wanaheshimiana sana from the same tribe eti alale. Hiyo siku ndo nilimpiga stop na kumwambia the house is not a ghetto place. From there akawa sasa akiwakaribisha anajitahidi sana mgeni akae mpaka saa saba usiku wakinywa na kupiga mziki kwa juu sana mpaka unadisturb mtu anayetaka kulala. Ndo maana nilikuja kuuliza hapa je, huu niungwana, bcoz nikama nimemharibia starehe yake jama!
Hapo napumua vizuri kama hamna kitu kinachoendelea,baada ya jibu hili naona mko tafauti na mumeo wewe unataka utulivu yeye anataka kelele na ulevi sasa itabidi ubadilike au utampoteza.Kunywa nae,sikilizeni muziki pamoja(sauti ya wastani) hatakua na haja ya kuja na watu wakum-entertain.
Nashukuru kwa mawazo, yawezekana hobbies haziendani. Nasiwezi kujilazimishia kuiga hobbies zake! Na zaidi ya hapo naoana anapenda magenge kama chokoraa. Mtu asiyekuwa na discipline na kuithamini ndoa yake ni kama chokaraa.
Nashukuru kwa mawazo, yawezekana hobbies haziendani. Nasiwezi kujilazimishia kuiga hobbies zake! Na zaidi ya hapo naoana anapenda magenge kama chokoraa. Mtu asiyekuwa na discipline na kuithamini ndoa yake ni kama chokaraa.
Umejaribu kukaa nae na kumueleza yale yanayokuumiza juu yake.... Samahani je ulikutana nae wapi kabla ya kukuoa? Nafikiri kabla ya mtu kuolewa/ kuowa huwa tunamuda wa kuchunguzana tabia n.k kama zinaendana au zinavumilika... Uckate tamaa dada kaa nae zungumza nae naamini kama anakupenda atabadilika
Nilishakaa naye sanaa... tulikutana dar es salaam, after one week he came to uk, then we went on with the contacts through the mails and telephone. It is true I have known my problem and I realy reglate with it. I think I will never make another mistake as this next time.