.
Mkuu
Mwenzetu ... hili neno huwa linawapa sana watu shida ... ila mara nyingi hutumiwa zaidi Kenya.
Kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI
gatu.
a kt [
ele] ~
madaraka decentralize
decentralize vt gatua madaraka;
(of govt.) toa madaraka mikoani.
decentralization n.
Kwa hiyo
UGATUZI ni
decentralization
Maneno mengine yanayoendana nalo ni kama
gatulia, (
tdew)
gatuliwa; (
tdk)
gatuka; (
tds)
gatusha.
Naona hata
Kongosho alitoka kapa .... hiyo ndio maana yake