uganga wa namna hiii si mchezo

uganga wa namna hiii si mchezo

chief72

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
627
Reaction score
309
true story
imetokea two weeks now, kuna Kabinti kalitoroka na lijamaa raia wa mtaani kakaenda gest mishale ya nne usiku, wenzie wakanokolea kwetu walimu, tulikuwa walimu wanne tukamsaka gest kama tano ambazo tulidhani wangeenda bila mafanikio. hadi kufika saa sita mambo yalikuwa hola, wakati tunaenda kulala tukiwa tumekata tamaa nkakumbuka nina jamaa angu anadai anauwezo mkubwa wa kujua mambo hasa yalojificha, pamoja na kunithibitishia kwa matukio kibao lakini i never trusted him before, nikaona siku ile nimuongeze mtihani mwingine, nka mtext kuwa tunamtafuta binti hatujui yupo gest gani,....kama unaweza pliz m-tress alipo, kwa bahati mbaya simu ilikuwa silence hivo hakuisikia text akaja iona asubuh saa 12, few minutes baada ya kuiona akanipigia na kunitajia gest walipo lakin akasema hamtawakuta washaondoka, akasikitika sana kwa kuchelewa kuiona sms jana usiku, tulipokuja mbana binti ataje alilala gest gani au geto alikiri kulala gest na alitaja gesti ile tulotajiwa na jamaa...wanajamvi bdo nashangaa how satellite sometimes waganga wanazo
 
Duh! Kweli wewe bonge la mwalimu!unadhambi zote za uandishi ,sijui hao wanafunzi wako wapo katika hali gani !
 
Hujui trick za waganga.
At least angesema simu iliisha chaji.
Na usingemtext bali kumpigia.
 
Mkuu chief72
Umehangaika kumtafuta "mwanafunzi wako" hadi usiku wa saa sita,tena kwenye guest houses za idadi hiyo uliotaja,hukuishia hapo,ulikerwa hadi kumwomba mtu wa "mazingaombwe" akusaidie.
Ningependa nifahamu machache kutoka kwako:
1. Ni driving force ipi iliyokufanya umtafute huyo mwanafunzi kiasi hicho cha kuhatarisha usalama wako...,ni ethical teacher-student relation,parent-daughter relation au kuna hidden agenda?
2. Huyo "mwanafunzi" wako ulimfanya nini baada ya kukueleza guest house aliyokuwepo?
3.unakawaida ya kufuatilia wanafunzi wote katika namna hiyo uliyofanya kwa huyo mwanafunzi?
Sorry...am just curious.
 
Last edited by a moderator:
naomba namba ya uyo jamaa anionee weekend yangu inayokuja
nijue itakuaje🙂🙂
 
Angekua anajua pia kama sim yake ikipigwa ilhali ameweka silent lol...au ndo mganga hajigangi?
 
Huyo mtabiri wako ndiye aliyekuwa nae gest,anakuzuga tu.

We jamaa akili yako ina charge nyingi sana mpaka na ya ziada!!
A%20S%20thumbs_up.gif

:clap2:........:clap2:
 
kama we ndo ticha hovyo kabisa,unafuatilia mpaga gesti?
 
[/COLOR][/B]Duh! Kweli wewe bonge la mwalimu!unadhambi zote za uandishi ,sijui hao wanafunzi wako wapo katika hali gani !

Kiongozi , hapa ukifatilia minor errores kwa siku mbona utatupata wengi !
Obvious utakuta wala si real errores bali ni vile tunavyopenda kuyaandika maneno kama yatamkwavyo mitaani.
Ukitaka uandishi kama ule wa gazeti la serikali , au hansard za bunge, humu itakuwepo shughuli.
Kimaono yangu sijaona pakubwa kiviiiile kumkosoa mtoamada!
Nway vijimambo vidogovidogo sampuli hii ukivimezea ni vema zaidi , sikatai kwamba hakuna errores ktk uandishi wake, but ni style ametumia kufupisha baadhi ya maneno , ambayo still yanaeleweka. sidhani kama vinaharibu ladha.
 
hata kwenye ualimu hutakiwa maana kwa hiyo style huna code of ethics!!!
 
Kiongozi , hapa ukifatilia minor errores kwa siku mbona utatupata wengi !
Obvious utakuta wala si real errores bali ni vile tunavyopenda kuyaandika maneno kama yatamkwavyo mitaani.
Ukitaka uandishi kama ule wa gazeti la serikali , au hansard za bunge, humu itakuwepo shughuli.
Kimaono yangu sijaona pakubwa kiviiiile kumkosoa mtoamada!
Nway vijimambo vidogovidogo sampuli hii ukivimezea ni vema zaidi , sikatai kwamba hakuna errores ktk uandishi wake, but ni style ametumia kufupisha baadhi ya maneno , ambayo still yanaeleweka. sidhani kama vinaharibu ladha.
Mkuu hebu soma vizuri maandishi yake huku ukizingatia yeye ni mwalimu halafu uitafakari hoja shutuma yangu,baada ya hapo uipitie upya hoja tetezi yako..
Si rahisi kwa MWALIMU kuweka neno GEST kama tohozi ya neno la kikristu GUEST,si rahisi kwa mwalimu kutumia tungo "imetokea two weeks now" si rahisi kwa mwalimu kuleta neno "m-tress" kama mbadala wa "m-trace" huku ukitilia maanani hata katika usahihi wake neno hili linamaanisha kufuatilia mwelekeo sawa katika majira tofauti.
fikiria na sehemu ya sentensi yake hii"tulikuwa walimu wanne tukamsaka gest kama tano ambazo tulidhani wangeenda bila mafanikio"
Mimi sija generalize shutuma zangu ,nimemlenga kwa kuwa ni mwalimu na hata ukiifatilia hadithi nzima ni kama mtu aliyekuwa anatafuta kumfumania mke/mpenzi wake si uhusiano wa mwalimu na mwanafunzi .
In positive anticipation i remain and stand to be corrected!
 
Back
Top Bottom