124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,812
- 5,526
"Kiongozi , hapa ukifatilia minor errores kwa siku mbona utatupata wengi !
Obvious utakuta wala si real errores bali ni vile tunavyopenda kuyaandika maneno kama yatamkwavyo mitaani.
Ukitaka uandishi kama ule wa gazeti la serikali , au hansard za bunge, humu itakuwepo shughuli.
Kimaono yangu sijaona pakubwa kiviiiile kumkosoa mtoamada!
Nway vijimambo vidogovidogo sampuli hii ukivimezea ni vema zaidi , sikatai kwamba hakuna errores ktk uandishi wake, but ni style ametumia kufupisha baadhi ya maneno , ambayo still yanaeleweka. sidhani kama vinaharibu ladha.
Try "errors" basi au ndio kutia ladha kwenyewe kwa "errores"