Uganda yasalimisha umiliki uwanja wa ndege Entebbe kwa Wachina

Yaani mtu anakuja kumiliki sehemu ya nyumba yako mfano anamiliki sebule yako😂😂😂😂😂😂 kisa kupewa pinted precious papers tunaita pesa ***** africa kweny uchumi wa pesa hapa ndo tulipoanza kudidimizwa maan wanaprint wao

Huwezi kumfunga barcelona kwa kupiga pasi nyingi labd counterattack ile barca ya 2009 sisi kuigia katika mfumo wa pesa kama abroad ni dhahiri hatutoweza kuwafany wla kuwazidi kwa chochote inawapa urahisi kuaaccess mali zetu kwa pesa zao rahisi sana
China ndio mkoloni mpya wa Afrika. Hatuchomoki niswala la muda kila nchi itaingia kwenye huu mtego. Ilianza Zambia, Djibouti, Uganda.... Kenya( Mombasa port) inanukia, Angola wako wanafanya warmup..
 
Hivi sisi kwenye bandari ya bagamoyo tunaweka bondi kitu gani?
Nchi nzima bond. Hivyo tegemea kumilikiwa na wachina😄😄😄. Watatutia sindano za sumu tufe na kuwa zombie Tu. Idd Amin aliwaza mbali Sana kuhusu hizo NGOZI.
 
Haya Tangu usikie zimbabwe sijui zambia wameshikiwa bandari zao. Which is pure propaganda,, wazambia na wazimbabwe wangapi wamekufa?, Chumi za hizo nchi vipi zimekufa? Wazambia wanakufa njaa na wanakimbia nchi yao, inshort kitu gani negative kimetokea?
Tatizo la wabongo reasoning ni almost zero

mimi najua uwezo wako wa kufikiri toka miaka hiyo tunabishana kuhusu dini.

kwani mkuu,unadhani kungekuwa na mtu anakufa hata wachina wangekubali kusign hiyo mikataba!!!ili waue watu??
kama madhara ni mpaka watu wafe au wakimbie nchi yao,basi hakuna madhara 100%
 
hapa kuna tsh 21 trillion inalipwaje hii???wakati bajeti tu huwa ni 18trillion na huwa inatajwa 33trillion

naskia uchimbaji wa gesi uwekezaji ni 70trillion,na deal linanyemelewa kwa kasi muda wowote ngoma inamalizwa mezani.

nina imani 1000% huyu mama hana sauti,kuna genge lenye tamaa na kiu kavu limeshapora udhibiti wake.
Ukiona watu kama Zitto wanajiita wapinzani ila wamekazana kusifiana na kina Makamba jua hapo tumepigwa
 
Haya mchina alijenga port ya haifa israel na ameachia kuirun for 25 years, pamoja na US kupiga vita mchina asiendeshe hiyo bandari,,
Jamani tuwage tunaresearch kwanza vitu badala ya lawama tu, tunajichelewesha

View attachment 2024441

unaanzaje kujilinganisha na waislaeli wewe mwenye vipaumbele elimu,maji na umeme 2021!!!!

wakati wenzako wanauza tech nchi kubwa na kuingiza mapato wewe unatafuta soko la corosho ma mapapai!!!unajua china na israeli wana biashara gani nyingine ambazo zinawaunganisha???

wewe ukiachana na biashara ya bandarina wachina,unawauzia meno ya tembo.
 
Israel ukubwa wake ni kama, mkuranga,, sasa unawezaje kushindwa kusupply umeme na maji kwa eneo hilo?.
Jpm aliwahi kusema barabara za lami zilizopo Tanzania, ukizihamishia Rwanda nchi yote itakua lami na watakosa pa kulima,,
Hata hao raia wa israel nchi ingekuwa kubwa kama Tanzania, wangekua bado na challenge ya maji na umeme kwa kipindi kifupi walichodumu tangu wapate uhuru..
 
mimi najua uwezo wako wa kufikiri toka miaka hiyo tunabishana kuhusu dini.

kwani mkuu,unadhani kungekuwa na mtu anakufa hata wachina wangekubali kusign hiyo mikataba!!!ili waue watu??
kama madhara ni mpaka watu wafe au wakimbie nchi yao,basi hakuna madhara 100%
Uwezo wangu mkubwa sana tangu 2012 tunabishana humu kuhusu vitu mbalimbali, dowand, Richmond, kagoda,, mwisho wa siku huwa niko right,
Mlisema lowasa kaiba hela dowans nikawaprove wrong,
Mkasema Rugemalila na mhindi wameiba pesa kwenye masalfeti huko bank nikawaprove wrong,
Mkasema kagoda zilikuwa hela za umma, Rostam kaiba toka bank kuu, nikawambia kagoda scandal hiyo ni case of loan going bad..
Kila arguments zangu huwa zinaprove right,, rejea posting history miaka 8 nyuma,
Infact am Genius
 
Acha utoto wee
Utoto upi?,Uganda wao walikopa dola 200mil,Kwa dhamana ya uwanja wenyewe,Tanzania tunakwenda kuingia ubia na wachina na waarabu Kwa ubia maalum wa miaka 33.Mradi wa bagamoyo uanze Mara moja,pitieni mapungufu rekebisheni kazi ianze.
 
Uzuri Mama ni muelewa sana na anasikiliza ushauri wa wataalam hii bandari inahitajika haraka sana awamu ya 5 ilifanya makosa makubwa sana badala ya kurenegotiate masharti wakaleta siasa Mama yetu ataharakisha hii mega project itakayo tuweka TZ juu sana
Kwanini wafanye renegotiation kama hapakuwa na Siri nyuma yake
 
Uwezo wangu mkubwa sana tangu 2012 tunabishana humu kuhusu vitu mbalimbali, dowand, Richmond, kagoda,, mwisho wa siku huwa niko right,
Mlisema lowasa kaiba hela dowans nikawaprove wrong,
Mkasema Rugemalila na mhindi wameiba pesa kwenye masalfeti huko bank nikawaprove wrong,
Mkasema kagoda zilikuwa hela za umma, Rostam kaiba toka bank kuu, nikawambia kagoda scandal hiyo ni case of loan going bad..
Kila arguments zangu huwa zinaprove right,, rejea posting history miaka 8 nyuma,
Infact am Genius

IMG_3275.jpg

dah
 
Uzuri Mama ni muelewa sana na anasikiliza ushauri wa wataalam hii bandari inahitajika haraka sana awamu ya 5 ilifanya makosa makubwa sana badala ya kurenegotiate masharti wakaleta siasa Mama yetu ataharakisha hii mega project itakayo tuweka TZ juu sana
Sasa itaikwa Tanzania juu wakati serikal haipata chochote na wananchi sanasana watalipwa ujira duni kwa miaka 99

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa za covid pia azishawasaidia aaah me siamini Ug wameshindwa kulipa hyoo pesa watakuawa wanalao jambo
 
Back
Top Bottom