Uganda yasalimisha umiliki uwanja wa ndege Entebbe kwa Wachina

Tutafaidika na nini,kama kodi haikusanywi?
Employment, technology transfer,
Tax free zone, mfano uarabuni inafanya investments zije kwa wingi sana, indirectly hiyo inachochea ukuaji wa uchumi na productivity,
Mama ntilie watauza chakula, wafugaji watauza nyama sana, wakulima watauza sana viazi, mchele, tomatoes, michicha, etc
In return productivity ina increase

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mi huwa najiuliza sana..
Mnawapa watu kazi ya kuchapisha hela halafu wanajifanya kuwakopesha..kumbe na wao wamechapisha za kwao halafu ndio wanawakopesha.Afrika tunatakiwa tutumie Dola tu..ndio tutanusurika na hili.
Nchi pekee inayochapisha pesa kwa style hiyo ni US peke yake, na hiyo ni kwasababu ya petrodollar

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom