Tanzania nayo ipo njiani,Kenya imemkimbilia IMF na World Bank imsaidie kumlipa China deni la sgr.Kwani alipokuwa anakopa mbona hakuomba ushauri kutoka World Bank?China ndio mkoloni mpya wa Afrika. Hatuchomoki niswala la muda kila nchi itaingia kwenye huu mtego. Ilianza Zambia, Djibouti, Uganda.... Kenya( Mombasa port) inanukia, Angola wako wanafanya warmup..
Sisi hatukopi elewa hapo kwanza,sisi tunaingia ubia wa muda maalumu.kimkataba.Hivi sisi kwenye bandari ya bagamoyo tunaweka bondi kitu gani?
Mwendazake angeingiza Tanzania kwenye mkono wa wachina,lakini Kwa sasa tishio hilo halipo tupo na Rais imara kama chuma.#ssh 2021-2030.Tanzania nayo ipo njiani,Kenya imemkimbilia IMF na World Bank imsaidie kumlipa China deni la sgr.Kwani alipokuwa anakopa mbona hakuomba ushauri kutoka World Bank?
Makoloni mapya ya China ni DRC,Zambia, Zimbabwe, Uganda,Ethiopia, Kenya,Madagascar,Tanzania
Unaweza kuwa na Raisi muadilifu and all that lakini shida ikabaki kwa watendaji wake. China anatambua fika kuwa viongozi wa kiafrika(not necessarily maraisi) ni corrupt na anamfuko mrefu wa kutoa rushwa ndio maana hapati shida kupata anachotaka kwa gharama yoyote ya mkopaji. Hivi huu mkataba wa Tanesco na kampuni ya India ( Mahindra ) wenye gharama kubwa ni justified- [ nje ya mada lkn nataka kufocus ktk shida ya watendaji ]Mwendazake angeingiza Tanzania kwenye mkono wa wachina,lakini Kwa sasa tishio hilo halipo tupo na Rais imara kama chuma.#ssh 2021-2030.
Tungemuweka bond raisi, Waziri mkuuuu na makamu wa raisiHivi sisi kwenye bandari ya bagamoyo tunaweka bondi kitu gani?
Project kama ya Bagamoyo, Rais anatakiwa awe kijana hata 45 years ili miaka yake 10 ikiisha wananchi wawe na muda mrefu wa kumsimanga kama mambo yameenda vibaya kama Uganda lakini hawa wazee wanaoongoza yaani mpaka Project inaisha tayari umri umekwenda wanakuwa wanamalizia malizia siku zao (assuming hakuna maradhi au ajali etc)Bandari ya Bagamoyo hiyoooo
Nooooooo,Nashauri kama ikiwezekana tuweke bondi uwanja wa ndege wa chato🐒
Na kwa kuwa CCM haiwezi kutolewa madarakani, labda kwa muujiza!! Basi tujipange kisaikolojia kuwa chini ya ukoloni mpya wa China, baada ya juhudi kubwa baba zetu kumtoa Mwingereza Sasa tunapokea ukoloni wa kichina kwa furaha na bashasha!Wewe kaa ukijua tu kuwa China walishapewa hiyo deal tangu 2015 na CCM, Magufuli alikuwa anaburudisha tu huku akichelewesha, lakini bandari itajengwa tutake au tusitake labda CCM watolewe madarakani.
Kama gesi ya Mtwara wachina walipewa, nini kingine watanyimwa?
Uganda hawajanyanganywa airport.. hizo ni story tuu.. mkopo wa 2015, grace period ya miaka 7, repayment ya miaka 20.. do the math..