Fredwash
JF-Expert Member
- Oct 27, 2009
- 1,291
- 1,802
naangalia BBC hapa naona kuna habar uganda leo walifunga mitandao yote ya kijamii isipatikane wakat wa zoez la kupiga kura.. Polis uganda walipoulizwa wakadai ni kwa sababu za kiusalama..
my take: yaan nahis Uganda na TZ pengine East africa nzima baba ya na mama yao mmoja.. huwezi kuona hili ulaya sasa wanapofunga mitandao ni usalama upi unatishiwa na hii mitandao ya kijamii ama hawatak watu wapashane habar jinsi haki inavyonyang'anywa